Browsing Faculty of Arts by Issue Date
Now showing items 21-40 of 606
-
Uchanganuzi Wakiisimu -matini wamsimuwa Tisa
(University of Nairobi, 2008)Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa kiisimu-matini wa diwani ya Msimu wa Tisa kwa kujikita katika dhana za muala na mshikamano. Uchanganuzi huu umefanywa kwa kufuata mwelekeo wa kinadharia wa muala wa Halliday na ... -
Mofosintaksia Va Kishazi Nomino Eha Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Uminimalisti
(University of Nairobi, 2008)Utafiti huu ni jaribio la kuchanganua kishazi norrnno cha Kiswahili Sanifu. Kishazi nomino ni kishazi tegemezi ambacho huelekea kuchukua majukurnu ya kirai nomino katika sentensi. Kazi hii imegawika katika sura tano. ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Swifa Ya Nguvumali
(University of Nairobi, 2009)Fani ni jumla ya vipengele vya kimtindo au kisanaa vinavyotumiwa kuwasilisha ujumbe. Katika tenzi vipengele vinavyojitokeza ni mtindo, muundo, toni, msuko, mandhari, wahusika, wakati, matumizi ya lugha na vipengele vingine ... -
Dhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi; Tathmini Ya Usaliti Mjini
(University of Nairobi, 2009)Tasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval ill the City (1976) 11a Usaliti Mjini (1994). Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Tambuka: Nadharia Ya Umuundo
(University of Nairobi, 2011) -
Ukombozi Wa Mwanamke Katika Riwaya Za Habwe
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu wa ukombozi wa mwanamke, tumeona kwamba ukombozi wa mwanamke unamtegemea mwanamke mwenyewe. Mwanamke anafaa kuchukua mstari wa mbele ili kupigania haki zake za kijamii kama njia ya kupinga ugandamizw ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Yanayofanywa Na Wazungumzaji Wa Kikamba Wanapojifunza Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2011) -
Nafasi Ya Dini Katika Ndoa: Tathmini Ya Utengano Na Paradiso
(University of Nairobi, 2011) -
Dhana Ya Maisha Katika Riwaya Mbili Za Euphrase Kezilahabi: Kichwamaji Na Dunia Uwanja Wa Fujo
(university of Nairobi, 2011)Katika tasnifu hii tumechunguza dhana ya maisha katika nwaya mbili za Euphrase Kezilahabi ambazo ni Kichwamaji na Dunia Uwanja wa Fujo. Uhakiki huu umegawanywa katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumebainisha somo la ... -
Upembezwaji Wa Mwanamke Kama Udokezi Wa Nafasi Ya Mwanamke Katika Utenzi Wa Fatuma
(university of Nairobi, 2011)Tasnifu hii imeshughulikia upembezwaji wa mwanamke kama udokezi wa nafasi ya mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Kazi imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia maswala ya kimsingi yanayojenga ... -
Jumbe katika Vibandiko vya Matatu
(university of Nairobi, 2011)Tasnifu hii inahusu jumbe zinazopatikana katika magari ya usafiri wa umma yanayojulikana kama Matatu. Utafiti wetu umefanyiwa mjini Nyahururu ambao ni mji unaopatikana katika jimbo la Nyandarua, takribani kilomita mia ... -
Sitiari, Taashira Na Tashibiha Katika Uwasilishaji Wa Dhamira Katika Utenzi Wa Tambuka: Uhakiki Wa Kimtindo
(University of Nairobi, 2011)Utenzi wa Tambuka ni miongoni mwa tenzi ndefu na za jadi za Kiswahili. Utenzi huu wenye beti 1150 unahusu tukio la vita baina ya Waislamu na Wakristo katika mji wa Tambuka vikiongozwa na Mtume Muhammadi na mfalme Herekali ... -
Uhakiki wa Riwaya ya nyuso za mwanamke na Said Ahmed Mohamed: mtazamo wa saikolojia changanuzi
(University of Nairobi, 2011)Tasnifu hii inahusu uhakiki wa riwaya ya Nyuso za mwanamke (2010) ya Saidi Ahmed Mohamed kwa mtazamo wa saikolojia changanuzi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha, kuchanganua na kubainisha mitagusano inayoibuka ... -
Uchanganuzi Wa Kauli Katika Sentensi Elekezi Ya Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Nadharia Ya Ubanifu
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu uchanganuzi wa Kauli katika sentensi elekezi ya Kiswahili sanifu kwa kutumia nadharia ya Ubanifu. Kazi yenyewe ilikuwa na malengo ya kueleza dhana ya uambishaji na kuonyesha viambishi vya kauli katika ... -
Mchangowa Vijana Kuleta Mabadiliko Chanya Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua fa Asubuhi zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, ... -
Matumizi Ya Taswira Kama Klgezo Cha Kufanikisha Maudhui Katlka Utendi Wa Siiraji Uliyotungwa Na Muhammad I Kijumwa
(University of Nairobi, 2012)Somo letu la utafiti linashughulikia matumizi ya taswira kama kigezo cha kufanikisha maudhui katika Utendi wa Siiraji. Utafiti wetu unanuia kuchunguza kigezo cha taswira na umuhimu wake katika kufanya maudhui ya mtunzi ... -
Dhamira ya Uozo Na Athari zake Kwa jamii, Katika Riwaya Ya upotevu
(University of Nairobi, 2012)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchanganua dhamira ya uozo katika nwaya ya Upotevu, kuchunguza uhusika unavyotumiwa kuendeleza uovu na kuonyesha madhara ya uovu katika jamii. Kazi hii ina sura tano. Katika sura ya ... -
Dhana Ya Uchimuzi Katika Uendelezaji Wa Riwaya Ya Kimajaribio Ya Mafamba
(University of Nairobi, 2012)Tasnifu hii inahusu dhana ya uchimuzi katika uendelezaji wa riwaya ya kimajaribio au mpya ya Mafamba (2008). Ni riwaya ya kwanza ya Olali inayomulika hali ya kisiasa katika jamii yetu na harakati za wananchi za kuwang'oa ... -
Usawiri Wa Wahuslka Wa Klke Ka Tlka Tamthilia Za Natala Na Mama Ee
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu ulishugulikia usawini wa wahusika wa kike katika tamthilia za natala na Mama ee kwa kutumia nadharia ya ufeministi. Madhumuni ua utafiti huu yalikuwa; Kuchunguza jinsi watunzi walivyowasawiri wahusika wa kike ... -
Ukuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothy Arege Mtazamo Wa Umuundo
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Chamchela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (201 1) Sura ya kwanza ...