Search
Now showing items 1-10 of 11
Taswira Dumifu Za Uana Katika Fasihi Ya Kiswahili Ya Watoto
(University of Nairobi, 2007)
Lengo kuu la utafiti huu limekuwa ni kubainisha Jll1Sl taswira durnifu za uana
zinavyojitokeza katika fasihi ya Kiswahili ya watoto.
Nadharia tete tatu zilizoongoza utafiti huu ni: Mosi, taswira dumifu za uana ...
Mitazamo Ya Vijana Na Wazee Kuhusu Ukombozi Wa Mwanamke Katika Tamthilia Tatu Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2007)
Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kushughulikia swala la mitazamo ya vijana na
wazee kuhusu ukombozi wa mwanamke katika tamthilia tatu za Kiswahili. Tamthilia
zilizoteuliwa ni: Kitumbua kimeingia mchanga (2000) S. ...
Athari Za Udhanaishi Katika Kichwamaji Na Nguvu Ya Sala
(University of Nairobi, 2006)
Tasnifu hii imechunguza athari za udhanaishi katika riwaya mbili ambazo ni Kichwamaji na
Nguvu ya Sa/a. Kazi yenyewe imegawika katika sura nne.
Katika sura ya kwanza tumetanguliza kwa ufupi dhana ya udhanaishi. Vilevile, ...
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Swifa Ya Nguvumali
(University of Nairobi, 2009)
Fani ni jumla ya vipengele vya kimtindo au kisanaa vinavyotumiwa kuwasilisha ujumbe.
Katika tenzi vipengele vinavyojitokeza ni mtindo, muundo, toni, msuko, mandhari,
wahusika, wakati, matumizi ya lugha na vipengele vingine ...
Uchanganuzi Wakiisimu -matini wamsimuwa Tisa
(University of Nairobi, 2008)
Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa kiisimu-matini wa diwani ya Msimu wa Tisa
kwa kujikita katika dhana za muala na mshikamano. Uchanganuzi huu umefanywa kwa
kufuata mwelekeo wa kinadharia wa muala wa Halliday na ...
Dhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi; Tathmini Ya Usaliti Mjini
(University of Nairobi, 2009)
Tasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka
kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval ill the City (1976) 11a
Usaliti Mjini (1994).
Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya ...
Mofosintaksia Va Kishazi Nomino Eha Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Uminimalisti
(University of Nairobi, 2008)
Utafiti huu ni jaribio la kuchanganua kishazi norrnno cha Kiswahili Sanifu. Kishazi
nomino ni kishazi tegemezi ambacho huelekea kuchukua majukurnu ya kirai nomino
katika sentensi.
Kazi hii imegawika katika sura tano. ...
Ugatuzi Wa Utamaduni wa Kikoloni Katika Tamthilia Za Ngugi Wa Thiong'o
(University of Nairobi, 2006)
Enforcement of International Humanitarian Law: a Critical Analysis of the Jurisprudence of the International Criminal. Tribunal for the Former Yugoslavia (Icty) and the International Criminal Tribunal for Rwanda (Ictr)
(University of Nairobi, 2005)
The research examines enforcement of international humanitarian law as codified
in the four Geneva Conventions of 1949 and their two Additional Protocols of 1977. The
study looks at early attempts to enforce international ...
Athari Za Udhanaishi Katika Kichwamaji Na Nanguvu Ya Sala
(University of Nairobi, 2006)
Tasnifu hii imechunguza athari za udhanaishi katika riwaya mbili ambazo ni Kichwamaji na
Nguvu ya Sala. Kazi yenyewe imegawika katika sura nne.
Katika sura ya kwanza tumetanguliza kwa ufupi dhana ya udhanaishi. Vilevile, ...