Show simple item record

dc.contributor.authorKaranja, Eddah W
dc.date.accessioned2013-05-02T08:26:22Z
dc.date.available2013-05-02T08:26:22Z
dc.date.issued2005
dc.identifier.citationTasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili (M.A) katika chuo klkuu cha Nairobi.en
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18284
dc.description.abstractKatika kazi hii tumezihakiki riwaya za Nguvu ya Sala (i995) ya K. W Warnitila, U/aie171si (1998) ya K. Mkangi na Babu Alipofufuka (2003) ya S.A. Mohamed. Tumeangalia jinsi waandishi hawa wamelishughulilcia swala la dini na kuonyesha nafasi yake katika jamii ya kisasa. Uhakiki huu umegawanywa katika sura tano. Katika sura ya kwanza turneelezea sorno la utafiti, madhurnuni, sababu za kulichagua sorno hili, mipaka na upeo na yaliyoandikwa kuhusu swala la dim. Aidha tumeelezea misingi ya kinadharia iliyoturniwa katika utafiti huu. Pia turneelezea njia tulizozitumia katika utafiti wetu. Katika sura ya pili, turneangalia jinsi dini ilivyosawiriwa katika riwaya ya Nguvu ya Sala. Tumeonyesha jinsi athari mbalirnbali za dini zilivyojitokeza katika riwaya hasa katika kizazi kipya. Turneonyesha jinsi wakati mwingine utarnaduni wa wanajamii unavyopata ushindi ukilinganishwa na dini. Katika sura ya tatu, tumeshughulikia dini katika riwaya ya Walenisi. Hapa turneonyesha jinsi dim ilivyoturniwa na inavyotumiwa kuwalainisha na kuwadhulurnu watu na kuwajaza kasurnba ya rnaisha merna ya baadaye huko Peponi huku wakiteseka duniani. Katika sura ya nne, turnechunguza dini katika riwaya ya Babu Alipofufuka ambapo tumeonyesha jinsi ukengeushi unavyoweza kuwafanya wakwasi waidharau dini kiasi cha kujitoshanisha na miungu Sura ya tano ni hitimisho na mapendekezo.en
dc.language.isoenen
dc.titleNafasi ya dini katika jamii ya kisasa kama ilivyosawiriwa katika riwa ya za nguvu ya sala, walenisi na babu alipofufukaen
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Arts-Kiswahilien


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record