Show simple item record

dc.contributor.authorNjuguna, Margaret W
dc.date.accessioned2013-05-02T09:08:16Z
dc.date.available2013-05-02T09:08:16Z
dc.date.issued1992
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18322
dc.description.abstractKazi hii imelenga kulinganisha halia za Kisauti ambazo zipo katika Kiswahili sanifu na Kikikuyu sanifu. Hata hivyo tumeona umuhimu wa kulinganisha Kikikuyu sanifu, na Kikikuyu cha Kabete. Lahaja hizi zipo chini ya lahaja ya kusini, kwa mujibu wa Karega (1977). Katika utangulizi, sura ya kwanza,tumepina Kikikuyu sanifu na Kikikuyu cha Kabete katika viwango vya fonetiki, na mofolojia na kupata matokeo sawa. Tukataka basi kuipa uzito kazi hii kwa kulinganisha na Kiswahili sanifu kwani data zile zikitoa mshabaha na pia tukiona uzani zaLdd , katika kuchukua data ya lugha ambayo inayo wazungumzaji wazaliwa wake. Tunasema hivyo kwa sababu hatuwezi kutenga wazungumzaji wazaliwa wa Kikikuyu sanifu, tukasema "Ndio hawa". Hivi ni kutokana na [ambo kwamba, Iahaja moja huteuliwa iwe, au itumike kama lugha sanifu, ili kukidhi mahitaji rasmi ya uandishi na utangazaji katika muktadha wa lahaja nyingi, au kadha. Kwa jumla.lipo tatizo la kuweza kupambanua tofauti za kimatamshi kwa kutegemea maandishi ya kawaida au othografia ya lugha ya Kikikuyu sauti.en
dc.description.sponsorshipThe University of Nairobien
dc.language.isoenen
dc.subjectMada: "mofofonolonjia ya kiswahili sanifuen
dc.subjectMathalani Kikuyu ya Kabete:Ulinganishien
dc.titleMada: "mofofonolonjia ya kiswahili sanifu``: mathalani kikuyu ya kabete ulinganishien
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Educational managementen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record