Browsing Theses and Dissertations by Title
Now showing items 44380-44399 of 45637
-
Ubainishaji na ukombozi wa mwanamke katika riwaya mbili za K.W Wamitila Nguvu ya sala (1999) na Dharau ya ini (2007)
(University of Nairobi, Kenya, 2012)ABSTRACT NOT AVAILABLE -
Ubanifu Wa Fani Katika Diwani Ya Alidhani Kapata Na Hadithi Nyingine
(university of Nairobi, 2015)Lengo la utafiti huu limekuwa kuchanganua ubanifu wa fani katika hadithi fupi katika diwani ya Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine (2011) iliyohaririwa na Iribemwangi. Mada imechaguliwa kwa misingi kuwa kazi ya kifasihi ... -
Uber and Taxis- an Anatomy of Disruptive Innovations
(university of nairobi, 2018)The objective of the study was to establish the effect of Ubers disruptive technologies in Kenya. the study aimed to achieve this by establishing the disruptive innovations caused by Uber, to determine the effect of Uber‟s ... -
Uchambuzi Linganishi Wa Fani Na Maudhui Ya Nyimbo Za Harusi Za Kimeru Na Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia uchambuzi linganishi wa fani na maudhui katika nyimbo za harusi za Kimeru na za Kiswahili. Tumerejelea nadharia mbili, ambazo ni nadharia ya uhalisia na umitindo. Nadharia ya uhalisia imetusaidia ... -
Uchambuzi Linganishi Wa Maudhui Katika Nyimbo Za Hodiya Za Wadigo Wa Msambweni Na Waswahili Wa Jomvu Kuu
(University of Nairobi, 2022)Nyimbo ni mojawapo wa vipera vya fasihi simulizi. Nyimbo huweza kutofautiana au kulingana katika jamii moja hadi nyingine kutegemea mazingira ya jamii maalum. Utafiti huu ulishughulikia uchambuzi linganishi wa maudhui ya ... -
Uchambuzi Linganishi Wa Maudhui Na Majukumu Ya Nyimbo Za Harusi Za Wadigo Na Waswahili
(University of Nairobi, 2014-11)Utafiti huu unahusu uchambuzi linganishi wa maudhui na majukumu ya nyimbo za harusi za Wadigo na Waswahili. Kazi hii imegawanywa katika su ra nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia maswala muhimu ya utafiti wetu. ... -
Uchambuzi Linganishi Wa Maudhui Na Mtindo Baina Ya Ngano Za Waswahili Na Wakuria
(University of Nairobi, 1987)Tasnifu hii ni Uchambuzi linganishi wa Mtindo na maudhui baina ya ngano za Waswahili na Wakuria. Hivyo basi huu ni uchambuzi wa fasihi simulizi, -ambapo tunashughulikia ngano peke yake. Fasihi simulizi inazo tanzu ... -
Uchambuzi linganishi wa maudhui na mtindo baina ya ngano za waswahili na wakuria
(1987)Tasnifu hii ni Uchambuzi linganishi wa Mtindo na maudhui baina ya ngano za Waswahili na Wakuria. Hivyo basi huu ni uchambuzi wa fasihi simulizi, ambapo tunashughulikia ngano peke yake. Fasihi simulizi inazo tanzu nyingi, ... -
Uchambuzi Wa Mikakati Ya Upole Kama Inavyotumiwa Na Wahusika Wakuu Katika Tamthilia Ya Mbaya Wetu
(University of Nairobi, 2015)Utafiti huu umeshughulikia suala la upole kama linavyobainika katika matumizi ya lugha ya wahusika wakuu katika tamthilia ya Mbaya Wetu. Mtafiti ametumia mtazamo wa Nadharia ya Upole ya Brown na Levinson (1987) na kujikita ... -
Uchambuzi Wa Tamathali Za Usemi Pamoja Na Mbinu Nyingine Za Matumizi Ya Lugha Katika Utenzi Wa Mikidadi Na Mayasa
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu unahusu uchambuzi wa tamathali za usemi na mbinu nyengine za matumizi ya lugha katika Utenzi wa Mikidadi na Mayasa na Said Abdalla Masudi el Buhry el Hinawy. Kazi hii imegawanywa katika sura nne. Katika sura ... -
Uchambuzi wa tamathali za usemi pamoja na mbinu nyingine za matumizi ya lugha katika utenzi wa mikidadi na mayasa
(University of Nairobi, Kenya, 2012)Utafiti huu unahusu uchambuzi wa tamathali za usemi na mbinu nyengine za matumizi ya lugha katika Utenzi wa Mikidadi na Mayasa na Said Abdalla Masudi el Buhry el Hinawy. Kazi hii imegawanywa katika sura nne, Katika sura ... -
Uchanganuzi Linganishi Wa Maswala Ya Vijana Na Jinsi Yanavyoshughulikiwa Na Waandishi Katika Diwani Ya Tunu Ya Ushairi
(University of Nairobi, 2015)Katika tasnifu hii tumeonyesha maswala ya vijana na jinsi yanavyoshughulikiwa na waandishi katika diwani ya Tunu ya Ushairi ambayo ina mkusanyiko wa mashairi ya waandishi wanne tofauti.Waandishi hawa ni pamoja na Andanenga, ... -
Uchanganuzi Linganishi Wa Sintaksia Ya Sentensi Sharti Ya Kiswahili Sanifu Na Ekegusii
(University of NairobiDepartment of literature and language, 2013)Lengo la tasnifu hii ni kufanya uchunguzi linganishi wa sentensi sharti ya Kiswahili Sanifu na Ekegusii kwa kutumia nadharia ya Upanuzi wa Sarufi Sawazishi. Tumeigawa kazi hii katika sura tano. Katika sura ya kwanza, ... -
Uchanganuzi Linganishi Wa Swala La Maadili Kwa Vijana Wa Kiume Katika Tenzi Mbili: Siraji Na Adili
(university of Nairobi, 2016)Tasnifu hii imeshughulikia maadili kwa vijana wa kiume yanayojitokeza katika tenzi za Siraji na Adili. Katika utafiti huu tumeongozwa na nadharia ya maadili ambayo inalenga kazi za fasihi kutatua matatizo ya jamii kwa ... -
Uchanganuzi Linganishi Wa Swala La Maadili Kwa Vijana Wa Kiume Katika Tenzi Mbili: Siraji Na Adili
(University of Nairobi, 2016)Tasnifu hii imeshughulikia maadili kwa vijana wa kiume yanayojitokeza katika tenzi za Siraji na Adili. Katika utafiti huu tumeongozwa na nadharia ya maadili ambayo inalenga kazi za fasihi kutatua matatizo ya jamii kwa ... -
Uchanganuzi makosa na muundo sentensi: ulinganisho wa sentensi sahili za kiswahili sanifu na za kisuba
(University of Nairobi, 2014)Wanafunzi wanaojifunza lugha ya pili hufanya makosa mengi yakiwemo matamshi mabaya ya maneno. Kutokana na hali hiyo, wanaisimu wamekuwa katika mstari wa mbele kubaini chanzo cha makosa na vilevile kubuni mbinu faafu ... -
Uchanganuzi Wa Kauli Katika Sentensi Elekezi Ya Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Nadharia Ya Ubanifu
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu uchanganuzi wa Kauli katika sentensi elekezi ya Kiswahili sanifu kwa kutumia nadharia ya Ubanifu. Kazi yenyewe ilikuwa na malengo ya kueleza dhana ya uambishaji na kuonyesha viambishi vya kauli katika ... -
Uchanganuzi Wa Kauli Katika Sentensi Elekezi Ya Kiswahili Sanifu: Mtazamo Wa Nadharia Ya Ubanifu
(University of Nairobi, Kenya, 2012)Kazi hii inahusu uchanganuzi wa Kauli katika sentensi elekezi ya Kiswahili sanifu kwa kutumia nadharia ya Ubanifu. Kazi yenyewe ilikuwa na malengo ya kueleza dhana ya uambishaji na kuonyesha viambishi vya kauli katika ... -
Uchanganuzi wa kifasihi wa baadhi ya fani katika nguzo mama:mtazamo wa umuundo na semiotiki
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Tasnifu hii imeshughulikia tamathali za usemi na mbinu nyingine za lugha. Tena tumeziangalia fani za fasihi simulizi ambazo mtunzi wa kazi hii amezitumia na kisha tumelishughulikia suala la wahusika na uhusika wao katika ...