Kimetto, Hillary K (University of Nairobi, 2016)
Utafiti huu ulichunguza ulinganifu wa taarifa za habari zinazotafsiriwa kutoka Kiswahili hadi Kikipsigis, mojawapo ya lahaja za Kikalenjin, katika kituo cha redio cha Kitwek ambacho ni kitengo cha Shirika la Utangazaji la ...