Browsing Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 15831-15850 of 24440
-
Mwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara (Mtu Ni Kwao Japo Chini Mwa Irara)
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na malengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika ... -
Mwingilianomatini Kati Ya Mkaguzi Mkuu Wa Serikali Na Mstahiki Meya
(University of Nairobi, 2016)Tamthilia ya Kiswahili ni mojawapo ya tanzu za Fasihi Andishi ya Kiswahili. Tanzu nyingine ni pamoja na riwaya, ushairi, hadithi fupi, novela na zinginezo. Utanzu wa tamthilia umedhihirisha kwa njia moja au nyingine uhusiano ... -
Mwingilianomatini katika fasihi ya Kiswahili: tata za asuminina rosamistika
(Department of Linguistic and Languages, University of Nairobi, 2007-06)Tasnifu hii imehakiki na kutathmini mwingilianomatini katika riwaya mbili za waandishi tofauti: Rosa Mistika (Kezilahabi) na Tata za Asumini (Ahmed). Tasnifu yenyewe ina sura tano. Katika sura ya kwanza tumeshughulikia ... -
Mwingilianomatini Katika Utenzi Wa Fumo Liyongo Na Tamthilia Ya Kifo Kisimani
(University of Nairobi, 2019)Matini huweza kuakisiana kwa namna moja ama nyingine. Sababu ni kwamba, waandishi hujihusisha na kukusanya na kupanga yaliyoko katika kazi za awali ili kuunda kazi zao. Kwa sababu hii, kazi itakayoundwa itakuwa na mshabaha ... -
The MWPA: is there a case for enactment of a matrimonial property act in Kenya?
(University of NairobiSchool of law, 2008)This Paper is an examination of the place and relevance of section 17 of the Married Women's Property Act, 1882 after the granting of divorce. It traces the developments of the law in England, from whence the Act of ... -
Myali song: Social critique among the Kamba
(Faculty of Arts, University of Nairobi, 1988)The study covers a sample of Akamba myali songs (singular, mwali) through a careful demonstration of how imagery and allusions portray ideas.Though fast disappearing, mwali is a major component of the Akamba literature ... -
Mysticism, Science and the Understanding of Religious Doctrines
(Department of Philosophy, 2001)It is recognised that religion plays an important role in individual and societal life. On the one hand, the advent of science and rationalism heralded a sustained critique on the basis on which religious beliefs are ... -
Myth And Memory In Narrating A Nation: Jennifer Makumbi’S Kintu
(University of Nairobi, 2020)This study examines the use of myth to create the narrative of a nation. The study seeks to understand how the myth of a clan (Kintus) has been married to that of Buganda Kingdom and Uganda along a course that converges ... -
The Myth in the So-called Freedom of Contract Doctrine
(University of Nairobi,School of Law, 1980-07) -
The myth of state sovereignty in international environmental law: a case for a global environmental charter
(University of NairobiSchool of Law, 2005)No abstract available -
Myths in modern African literature: a case study of Rebeka Njau's works
(2013-04-29)This study is entitled 'Myths in Modem African Literature: A case Study of Rebeka Njau's Works.' It is a critical analysis of how myths function in the literary works of Rebeka Njau. Our thesis starts on the premise that ... -
Nafasi na utambulisho wa mwanamke katika natala na kifo kisimani
(University of NairobiDepartment of Linguistics and Languages, 2013-10)Madhumuni katika utafiti wetu yalikuwa ni; kwanza kuchunguza taswira chanya ambazo mwandishi anaangazia kumhusu mwanamke katika Natala na Kifo Kisimani. Pia, tulichunguza changamoto zinazokabili mwanamke katika harakati ... -
Nafasi Ya Aina Za Matini Katika Kushawishi Mbinu Za Tafsiri: Tathmini Ya Mwanzo, Kutoka Na Zaburi Katika Biblia
(University of Nairobi, 2017)Suala la ulinganifu katika tafsiri si la kiwango cha maneno na sentensi pekee yake. Uelewa wa vipengele vingine vya ulinganifu kama vile aina za matini na rejesta una natija kwa mfasiri kwa kuwa humwezesha kubaini mbinu ... -
Nafasi ya Dini katika jamii ya kisasa kama ilivyosawiriwa katika Riwaya za Nguvu ya Sala, Walenisi na Babu alipofufuka
(University of Nairobi, 2005)Katika kazi hii tumezihakiki nwaya za Nguvu ya Sala (1995) ya K.W Wamitila, Walenisi (1998) ya K. vlkangi na Babu Alipofufuka (2003) ya SA. Mohamed. Tumeangalia jinsi waandishi hawa wamelishughulikia swaJa la dini na ... -
Nafasi ya dini katika ndoa: Tathmini ya utenngano na paradiso
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Utafiti huu umeshughulikia nafasi ya dini katika ndoa na vile uhusiano huu wa dini na ndoa unavyomwathiri mwanamke katika jamii. Sura ya kwanza ni tatizo la utafiti, madhumuni, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, ... -
Nafasi ya mwanamke: Jinsi inavyotetewa katika nyimbo za taarab za zanzibar
(Idara Ya Isimu Na Lugha, 2013-06)Utafiti huu unahusu uchambuzi wa maudhui katika nyimbo za taarab za Kibiriti Upele na Tupendane Wabaya Waulizane.Nyimbo hizi ziliimbwa na Mwanaidi Shaaban na Mzee Yusuf. Kazi hii imegawanywa katika sura sita.Katika sura ... -
Nafasi ya tamthilia za kihistoria katika fasihi ya Kiswahili, Kinjeketile (E.Hussein) na Mzalendo Kimathi (Ngugi Na Mugo)
(University of Nairobi, Kenya, 2012)Utafiti huu umeshughulikia nafasi ya Tamthilia za kihistoria katika Fasihi ya Kiswahili hasa Kinjetekile na Mzalendo Kimathi. Katika sura ya kvvanza kima somo la utafiti, madhumuni, Nadharia Tete, sababu za kuichagua ... -
Nafasi Ya Ulinganifu Wa Kipragmatiki Katika Tafsiri Za Makala Za Mchezo Wa Kandanda Magazetini
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Utafiti huu unahusu kubainisha nafasi ya ulinganifu wa kipragmatiki katika tafsiri ya makala za mchezo wa kandanda magazetini. Tasnifu hii imejengwa katika msingi unaochukulia kuwa ulinganifu wa maana katika tafsiri ya ... -
Nafasi Ya Vijana Katika Riwaya Za Pendo La Karaha Na Kovu Moyoni
(University of Nairobi, 2016)Tumeangazia nafasi ya vijana katika riwaya za Pendo la Karaha na Kovu Moyoni za John Habwe. Hata hivyo ilitubidi kusoma riwaya nyinginezo za mwandishi huyu kama vile Hadaa ya Nafsi na Safari ya Lamu ili tupate ufahamu ... -
Nafasi ya wanawake katika uhifadhi wa mazingira katika riwaya ya Nakuruto : mtazamo wa fasihi ya ufeministi wa kiekolojia
(University of Nairobi, 2014)Fasihi ya kiekolojia ni uwanja uliochipuka miaka ya 1970 na kuendelea miaka ya 1990 kuchanganua, kuchambua na kuhakiki kazi za kifasihi. Uwanja huu unalenga kuangazia fani na maudhui katika matawi ya fasihi kiekolojia ...