Show simple item record

dc.contributor.authorKwaka, Makiri A
dc.date.accessioned2019-01-18T09:44:06Z
dc.date.available2019-01-18T09:44:06Z
dc.date.issued2018
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/105062
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza usimulizi katika Utenzi wa Nabii Isa kwa kutumia nadharia ya naratolojia.Kazi hii ilijibana katika vipengee viwili vya usimulizi – wakati na uwasilishaji usemi. Kimsingi utafiti huu ulipania kuonyesha jinsi wakati unavyobainika katika utenzi na kuangazia suala la mpangilio wa matukio kwa misingi ya mfuatano wa kiwakati au mpangilio mwingine mbadala unaojitokeza katika utenzi hasa wa Nabii Isa.katika kuwezesha haya utafiti umejaribu kubainisha mbinu za uwasilishaji usemi zilizotumika. Kadhalika kuchanganua muundo na mtindo wa Utenzi wa Nabii Isa. Kutokana na utafiti huu tumetambua kwamba vipengee vya usimulizi vina dhima kubwa katika uelewekaji wa hadithi yenyewe na kupitisha ujumbe katika hadithi. Mathalani maudhui katika hadithi.Aidha utafiti umeonyesha kuwa mbinu anuwai za wakati na uwasilishaji usemi zimedhihirika katika Utenzi wa Nabii Isa. Mathalani katika kipengee cha wakati imebainika kuwa mbinu ya analepsia imetumika zaidi kuliko ile ya prolepsia na katika uwasilishaji usemi, mbinu za usemi halisi na mawazo halisi, usemi wa taarifa na mawazo ya taarifa, usemi halisi huru na mawazo halisi huru na usemi wa taarifa huru zimetumika. Mawazo ya taarifa huru ni mbinu ambayo haijadhihirika katika Utenzi wa Nabii Isaen_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleUhakiki Wa Wakati Na Uwasilishaji Usemi Kama Vipengeevya Usimulizi Katika Utenzi Wa Nabii Isaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States