Faculty of Arts & Social Sciences (FoA&SS / FoL / FBM): Recent submissions
Now showing items 2261-2280 of 3323
-
Mchango Wa Sitiari Za Kiswahili Katika Kauli Za Klchochezi Kwe Ye Diskosi Ya Kisiasa Nchini Kenya
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu ulichunguza jinsi sitiari za Kiswahili hujitokeza katika kauli za wanasiasa na jinsi wanasiasa huweza kuzitumia kueneza kauli za kichochezi nchini Kenya. Vile vile, jinsi lugha ya Kiswahili ijapokuwa ni lugha ... -
Ukuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothy Arege Mtazamo Wa Umuundo
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Chamchela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (201 1) Sura ya kwanza ... -
Mchangowa Vijana Kuleta Mabadiliko Chanya Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua fa Asubuhi zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, ... -
Utohozi Wa Msamiati Kutoka Kisw Ahili Hadi Ekegusii
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu una lengo la kuweka wazi usayansi uliopo katika istilahi zilizotoholewa kutoka Kiswahili hadi Ekegusii. Utafiti huu umetumia nadharia ya ukopaji uhamisho na N.I.K. katika ufafanuzi wa kazi hii. Vile vile ... -
Uchambuzi Linganishi Wa Maudhui Na Mtindo Baina Ya Ngano Za Waswahili Na Wakuria
(University of Nairobi, 1987)Tasnifu hii ni Uchambuzi linganishi wa Mtindo na maudhui baina ya ngano za Waswahili na Wakuria. Hivyo basi huu ni uchambuzi wa fasihi simulizi, -ambapo tunashughulikia ngano peke yake. Fasihi simulizi inazo tanzu ... -
Methali Kama Falsafa Ya Maisha: Uhakiki Linganishi Wa Mkethali Za Kikorea Na Kishwahili
(University of Nairobi, 1992)Iasnttu hii ni uhektkl linganishi uie methali za Kikorea na za Kiswahili. Methali kama tani muja ya tasihi simulizi hujumuisha Iikira na mauiazn mnanrnnen ya umma na hiuyo basi methali ni kiini che hekima zinazocnujura ... -
Uchanganuzi Wa Kauli Katika Sentensi Elekezi Ya Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Nadharia Ya Ubanifu
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu uchanganuzi wa Kauli katika sentensi elekezi ya Kiswahili sanifu kwa kutumia nadharia ya Ubanifu. Kazi yenyewe ilikuwa na malengo ya kueleza dhana ya uambishaji na kuonyesha viambishi vya kauli katika ... -
Dhana Ya Uchimuzi Katika Uendelezaji Wa Riwaya Ya Kimajaribio Ya Mafamba
(University of Nairobi, 2012)Tasnifu hii inahusu dhana ya uchimuzi katika uendelezaji wa riwaya ya kimajaribio au mpya ya Mafamba (2008). Ni riwaya ya kwanza ya Olali inayomulika hali ya kisiasa katika jamii yetu na harakati za wananchi za kuwang'oa ... -
Athari Za Udhanaishi Katika Kichwamaji Na Nanguvu Ya Sala
(University of Nairobi, 2006)Tasnifu hii imechunguza athari za udhanaishi katika riwaya mbili ambazo ni Kichwamaji na Nguvu ya Sala. Kazi yenyewe imegawika katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumetanguliza kwa ufupi dhana ya udhanaishi. Vilevile, ... -
Mwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwairara (Mtu Ni Kwao Japo Chini Mwa Irara)
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini lvfwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na maIengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika ... -
Ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika mkamandume
(University of Nairobi, 2015)Tasnifu hii imeshughulikia suala la ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika Mkamandume ya S. A. Mohamed. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchanganua hali ya kisiasa na kiuchumi katika Visiwa vya Zanzibar na Pemba na kutathmini ... -
Dhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi; Tathmini Ya Usaliti Mjini
(University of Nairobi, 2009)Tasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval ill the City (1976) 11a Usaliti Mjini (1994). Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Tambuka: Nadharia Ya Umuundo
(University of Nairobi, 2011) -
Lugha Katika Idara Ya Uhamiaji Nchini Kenya:mfano Wa Idara Ya Uhamiaji Mombasa
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu ulihusu uchunguzi wa lugha yamazungumzo katika Jdara ya Uhamiaji nchini Kenya. Ni utafiti uliokuwa na malengo mawili ambayo ni; kubainisha aina za sentensi zinazotumika katika mazungumzo katika Jdara ya ... -
Uchanganuzi Wakiisimu -matini wamsimuwa Tisa
(University of Nairobi, 2008)Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa kiisimu-matini wa diwani ya Msimu wa Tisa kwa kujikita katika dhana za muala na mshikamano. Uchanganuzi huu umefanywa kwa kufuata mwelekeo wa kinadharia wa muala wa Halliday na ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Yanayofanywa Na Wazungumzaji Wa Kikamba Wanapojifunza Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2011) -
Ugatuzi Wa Utamaduni wa Kikoloni Katika Tamthilia Za Ngugi Wa Thiong'o
(University of Nairobi, 2006) -
Siasa Na Uimarikaji Wa Kiswahili Kenya
(University of Nairobi, 1990) -
Nafasi Ya Dini Katika Ndoa: Tathmini Ya Utengano Na Paradiso
(University of Nairobi, 2011) -
Dhamira ya Uozo Na Athari zake Kwa jamii, Katika Riwaya Ya upotevu
(University of Nairobi, 2012)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchanganua dhamira ya uozo katika nwaya ya Upotevu, kuchunguza uhusika unavyotumiwa kuendeleza uovu na kuonyesha madhara ya uovu katika jamii. Kazi hii ina sura tano. Katika sura ya ...