Faculty of Arts & Social Sciences (FoA&SS / FoL / FBM): Recent submissions
Now showing items 2281-2300 of 3323
-
Ukombozi Wa Mwanamke Katika Riwaya Za Habwe
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu wa ukombozi wa mwanamke, tumeona kwamba ukombozi wa mwanamke unamtegemea mwanamke mwenyewe. Mwanamke anafaa kuchukua mstari wa mbele ili kupigania haki zake za kijamii kama njia ya kupinga ugandamizw ... -
Muundo Na Uamilifu Wa Chagizo Katika Viral Na Vishazi Vya Kisw Ahili Sanifu
(University of Nairobi, 2019)Mada yetu ya utafiti ilikuwa uamilifu wa chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu.Tulidhamiria kuchunguza viambajengo vya aina tofauti za chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu huku tukilenga ... -
Sintaksia Ya Virai Vya Kiswahili Sanifu Na Kikikuyu Cha Kabete - Ulinganishi
(University of Nairobi, 2002) -
Mchango Wa Vijana Katika Kuleta Mabadiliko Katika Kufa Kuzikana Nakidagaa Kimemwozea
(University of Nairobi, 2017)Katika utafiti huu, tumeonyesha mchango wa vijana katika kuleta mabadiliko katika riwaya za Kufa Kuzikana na Kidagaa Kimemwozea. Pia, tumeangazia changamoto ambazo vijana hukumbana nazo katika juhudi zao za kuleta ... -
Uyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyani
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa Abdirrahmani na Sujiyani kwa kusoma utenzi wenyewe na kudondoa yale masuala mazito yenye uyakinifu katika maisha ya jamii. Tumeongozwa na nadharia ... -
Uhakiki Wa Maudhui na Mtindo Katika Tikitimaji
(University of Nairobi, 2014)Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ... -
Usawiri Wa Watoto Katlka Hadithi Za Mwepesi Wa Kusaha Unalikizo Ya Mkosi
(University of Nairobi, 2015)Mada ya utafiti huu ilikuwa kuchunguza usawiri wa watoto katika hadithi za Mwepesi vva Kusahau na Likizo ya Mkosi. Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kubainisha ... -
Urudiaji Na Uwasilishaji Wa Maana Katika Ushairi Wa Kisasa
(University of Nairobi, 2017)Tasnifuhii imeshughulikia urudiaji na uwasilishaji wa maana katika diwani ya Dhifa na Vifaru Weusi. Tumeangazia mambo yafuatayo: usuli, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti,sababu za kuchagua mada, ... -
Mitazamo Ya Vijana Na Wazee Kuhusu Ukombozi Wa Mwanamke Katika Tamthilia Tatu Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2007)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kushughulikia swala la mitazamo ya vijana na wazee kuhusu ukombozi wa mwanamke katika tamthilia tatu za Kiswahili. Tamthilia zilizoteuliwa ni: Kitumbua kimeingia mchanga (2000) S. ... -
Matumizi Ya Taswira Kama Klgezo Cha Kufanikisha Maudhui Katlka Utendi Wa Siiraji Uliyotungwa Na Muhammad I Kijumwa
(University of Nairobi, 2012)Somo letu la utafiti linashughulikia matumizi ya taswira kama kigezo cha kufanikisha maudhui katika Utendi wa Siiraji. Utafiti wetu unanuia kuchunguza kigezo cha taswira na umuhimu wake katika kufanya maudhui ya mtunzi ... -
Taswira Dumifu Za Uana Katika Fasihi Ya Kiswahili Ya Watoto
(University of Nairobi, 2007)Lengo kuu la utafiti huu limekuwa ni kubainisha Jll1Sl taswira durnifu za uana zinavyojitokeza katika fasihi ya Kiswahili ya watoto. Nadharia tete tatu zilizoongoza utafiti huu ni: Mosi, taswira dumifu za uana ... -
Athari Za Udhanaishi Katika Kichwamaji Na Nguvu Ya Sala
(University of Nairobi, 2006)Tasnifu hii imechunguza athari za udhanaishi katika riwaya mbili ambazo ni Kichwamaji na Nguvu ya Sa/a. Kazi yenyewe imegawika katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumetanguliza kwa ufupi dhana ya udhanaishi. Vilevile, ... -
Maudhui Yanavyo Imarishwa Na Fani Katika Riwaya Ya Nguvu Ya Sala Ya K.W Wamitila
(University of Nairobi, 2016)Kazi yetu imechunguza vipengele vya fani. Tulifafanua dhana ya fani kwa kusema kuwa, fani ni vipengele vya kisanaa katika kazi ya fasihi. Aidha, fani ni jinsi ambavyo msanii hufinyanga kazi yake ili msomaji apate ujumbe ... -
Nafasi Ya Wanawai Katika Uhifadhi Wa Mazinglra Katika Riwaya Ya Nakuruto- Mtazamo Wa Fasihi Ya Ufeministi Wa Kiekolojia
(University of Nairobi, 2014)Fasihi ya kiekolojia ru uwanja uliochipuka miaka ya 1970 na kuendelea rniaka ya 1990 kuchanganua, kuchambua na kuhakiki kazi za kifasihi. Uwanja huu unalenga kuangazia fani na maudhui katika matawi ya fasihi kiekolojia ... -
Ufaaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kisomo
(University of Nairobi, 1991)Katika tasnifu hii, tumechunguza ufaaji wa Kiswahili kama lugha ya k' _unzia katika viwango vyote vya elimu. Tumechunguza ~shelezaji wa Kiswahili katika kufunza hasa masomo ya Kisayansi na t- ~uma za kiufundl Tumezingatia ... -
Mofosintaksia Va Kishazi Nomino Eha Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Uminimalisti
(University of Nairobi, 2008)Utafiti huu ni jaribio la kuchanganua kishazi norrnno cha Kiswahili Sanifu. Kishazi nomino ni kishazi tegemezi ambacho huelekea kuchukua majukurnu ya kirai nomino katika sentensi. Kazi hii imegawika katika sura tano. ... -
Jumbe Katika Leso: Matumizi Va Mbinu Va Kusutalf
(University of Nairobi, 2015)Katika utafiti huu tunalenga kuchanganua jumbe za kusuta katika leso mjini Mombasa tukiongozwa na nadharia ya Upole. Utafiti huu ulihusu jumbe za kusuta za leso mjini Mombasa. Utafiti huu ulikuwa unachunguza haipothesia ... -
Ukiushi Katika Lugha Ya Kimaongezi Dhidi Yakanuni Za Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 1991)Utafiti huu umetokana na imani ~wa~ba ukiushi katika lugha ya kireaongezi ni tukio halisi na dhahiri katika matumizi ya lugha yo yote ile. (Taz. Max Black, 1968). Kuifahamu lugha na kuielewa kikamilifu kunahusu pia ... -
Mada: Ukuzaji Wa Kiswahili
(University of Nairobi, 1988) -
Uyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyani
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa Abdirrahmani na Sufiyani kwa kusoma utenzi wenyewe na kudondoa yale masuala mazito yenye uyakinifu katika maisha ya jamii. Tumeongozwa na nadharia ...