Show simple item record

dc.contributor.authorMwanjala, Simion M
dc.date.accessioned2021-08-20T07:13:10Z
dc.date.available2021-08-20T07:13:10Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155289
dc.description.abstractKatika tasnifu hii tumechunguza dhana ya maisha katika nwaya mbili za Euphrase Kezilahabi ambazo ni Kichwamaji na Dunia Uwanja wa Fujo. Uhakiki huu umegawanywa katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumebainisha somo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua somo, upeo na mipaka ya somo, nadharia tete, yaliyoandikwa kuhusu somo hili, msingi wa kinadharia na njia za utafiti. Katika sura ya pili, tumeonyesha dhana ya maisha katika riwaya ya Kichwamaji. Tumevihakiki vipengele/mihimili ya udhanaishi katika riwaya hii,vikiwemo ukengeushi, kutawala kwa suala la uteuzi na wingi wa uteuzi, fujo katika maisha, udhaifu wa maisha ya mwanadamu, upweke na usiri, kihoro na hofu kubwa, utupu na ubwege wa maisha, swala la uhuru, swala la kifo (mauti). Katika sura ya tatu, tumeonyesha dhana ya maisha katika Riwaya ya Dunia Uwanja wa Fujo. Vilevile, tumevihakiki vipengele/mihimili ya udhanaishi katika riwaya hii. Katika sura ya nne, tumehitimisha kwa kutoa maoni yetu kuhusiana na kazi hii kwa ujumla. Aidha tumetoa maelezo kuhusu mafanikio pamoja na mapendekezo ya utafiti zaidi. Tumehitimisha kwa kuonyesha mareje1eo ya baadhi ya kazi ambazo zimeandikwa kuhusu kazi za Euphrase Kezilahabi na nadharia ya udhanaishi tunazozishughulikia.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisheruniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectDhana Ya Maisha Katika Riwayaen_US
dc.titleDhana Ya Maisha Katika Riwaya Mbili Za Euphrase Kezilahabi: Kichwamaji Na Dunia Uwanja Wa Fujoen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States