Show simple item record

dc.contributor.authorMunyasya, Florence M
dc.date.accessioned2021-09-16T08:29:38Z
dc.date.available2021-09-16T08:29:38Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155478
dc.description.abstractKatika utafiti huu, tumeonyesha mchango wa vijana katika kuleta mabadiliko katika riwaya za Kufa Kuzikana na Kidagaa Kimemwozea. Pia, tumeangazia changamoto ambazo vijana hukumbana nazo katika juhudi zao za kuleta mabadiliko. Utafiti wetu uliongozwa na nadharia ya uyakinifu wa kijamii ambao unajihusisha na utetezi wa wanyonge na ukombozi wao. Tumetambua kwamba vijana ni mawakala wa mabadiliko na wanaweza ku1eta mchango ambao unaweza kuwafaidi wanajamii wote. Hii ni kwa sababu vijana ni wenye nguvu za mwili na maarifa ambayo wanaweza kutumia ili kuifunza jamii. Pamoja na haya, tumeonyesha kwamba vijana wanakabiliana na changamoto nyingi ambazo ni lazima zichukuliwe hatua ili kizazi hiki ambacho ni muhimu sana kipate kuokolewa. Tulitumia mbinu za utafiti za maktabani na mtandaoni. Maktabani, tulisoma riwaya mbili teule na makala tofauti kama vile tasnifu na vitabu vyenye maelezo kuhusu nadharia ya uyakinifu wa kijamii. Tulitembelea mtandao na kuangalia masuala yanayohusiana na vijana na pia tulisoma maelezo kuhusu nadharia ya uyakinifu wa kijamii.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMchango Wa Vijana Katika Kuleta Mabadilikoen_US
dc.titleMchango Wa Vijana Katika Kuleta Mabadiliko Katika Kufa Kuzikana Nakidagaa Kimemwozeaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States