Show simple item record

dc.contributor.authorMunyao, Rose M
dc.date.accessioned2021-09-20T11:53:33Z
dc.date.available2021-09-20T11:53:33Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155501
dc.description.abstractTasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini lvfwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na maIengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika kufumbata dhamira ya mwandishi wa Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara. Pili, kuchanganua kwa kina maudhui kama kipengeIe cha fasihi katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara na mwisho kutathmini mchango wa mandhari katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa frara. Tuliongozwa na nadharia ya uhaIisia wa kijamaa katika kuchanganua kazi hii. Tumefanya uchanganuzi wa maudhui kama kipenge\e cha fasihi kwa kina. Aidha, tumechanganua mchango wa mandhari katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa frara na kubaini kuwa kazi hii imejengwa katika mandhari halisi inayofahamika na wanajamii. VileviIe, tumechunguza jinsi historia na fasihi zinavyoingiliana na kutegemeana kwa ujumla kabla va kujibu swali letu Ia utafiti la mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa lrara. Matokeo ya utafiti huu yamedhihirisha kuwa mtunzi wa Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa frara ameathiriwa na historia ya jamii yake kwa kiwango kikubwa. ven_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMwingiliano Wa Fasihi Na Historiaen_US
dc.titleMwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwairara (Mtu Ni Kwao Japo Chini Mwa Irara)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States