dc.contributor.author | Zani, Mwazani, E | |
dc.date.accessioned | 2021-10-01T12:24:43Z | |
dc.date.available | 2021-10-01T12:24:43Z | |
dc.date.issued | 2015 | |
dc.identifier.uri | http://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155579 | |
dc.description.abstract | Katika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicha fa Ndani.
iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed
amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika diwani hii. Hata hivyo tuligundua pia
kwamba Said A. Mohamed alishughulikia maudhui mengine pia yakiwemo yale ya unyumba,
siasa, dini na kadhalika. Tumeyasoma mashairi yote 96, na kugundua kwamba takriban mashairi
62 yameshughulikia mada hii ya ukombozi kwa njia moja au nyingine. Katika utafiti wetu,
tumetumia nadharia ya uhalisia wa kijamii, na vigezo vyake vimetumika vilivyo katika utafiti
huu. Nadharia hii iliwezesha kuhakiki maudhui ya kiukombozi kufungamana na mfumo wa jamii
husika. Matokeo ya utafiti wetu yalidhihirisha kwamba mwandishi aliyashughulikia pakubwa
maudhui ya kiukombozi, nia yake ikiwa ni kuwazindua wanyonge waione haja ya kujipigania
waupate ukombozi. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | University of Nairobi | en_US |
dc.rights | Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States | * |
dc.rights.uri | http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ | * |
dc.subject | Maudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed | en_US |
dc.title | Maudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |