Show simple item record

dc.contributor.authorMwangi, Duncan, K
dc.date.accessioned2021-10-01T12:52:42Z
dc.date.available2021-10-01T12:52:42Z
dc.date.issued2005
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155581
dc.description.abstractTasnifu hii ni uhakiki wa fani katika tamthilia za Kiswahili ambazo zimetungwa na Warnitila, K.W. Tamthilia hizi ni Wingu La Kupita (1999) na Pango (2003). Katika tahakiki yetu, tumeteua na kujadili vipengele maalum vya fani. Kazi ina sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeelezea dhana za kimsingi zinazohusiana au kupatikana katika sorno hili. Dhana hizi ni pamoja na: fani na tamthilia. Tumeelezea pia msingi wa kinadharia tulioutumia, sababu za kuchagua rnada hii na upeo na mipaka yake. Tumeweza kurejelea kazi za fasihi zilizowahi kuandikwa zikiangazia fani. Sura ya pili ni kuhusu ujumla na mjengo wa ploti. Katika sura hii tunaeleza dhana ya ploti. Vipengele arnbavyo tumejadili ni mfululizo wa vitushi na jinsi vinashirikiana katika kuleta umoja wa kazi na tumetoa tathmini yetu kuhusu ploti katika kila tamthilia. Katika sura ya tatu turneshughulikia urnbuji wa wahusika. Tumejadili jinsi wahusika mbalimbali walivyochorwa katika tarnthilia, nafasi au majukumu yao na mchango wanaotoa katika uendelezaji wa kazi. Katika sura ya nne, tumehakiki maturnizi ya lugha katika kazi za Wamitila. Tumeangalia jinsi lugha irnetumiwa katika mazingira mbalimbali na inavyotumiwa na wahusika wa urnri rnbalirnbali.Tumejadili pia usanaa na ujumi wa lugha iliyotumiwa. Sura ya tano ni ya hitimisho na rnapendekezo. Katika sehemu hii tumeangaza kimukhtasari zile sifa baininifu zinazojidhihirisha katika ujumla wa fani katika kazi za Wamitila kama tulivyoweza kuzijadili na kuzihukumu. Ubakiki wetu umechambua udhaifu au ufanifu wa mtunzi katika umbuji wa wahusika na lugha. Tumeweza kutoa mapendekezo katika tasnifu kuhusu kazi tuliyoifanya.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectUhakiki wa fani katlka Tamthilia za K.W.Wamitila.en_US
dc.titleUhakiki wa fani katlka Tamthilia za K.W.Wamitila.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States