Show simple item record

dc.contributor.authorOndoro, Jomo V
dc.date.accessioned2022-03-31T07:02:10Z
dc.date.available2022-03-31T07:02:10Z
dc.date.issued2021
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/157209
dc.description.abstractKwenye tasnifu hii, tumehakiki maudhui ya siasa na athari zake katika jamii. Diwani ya Kaza Macho imerejelewa. Utafiti wetu ulilenga kutekeleza madhumuni matatu yafuatayo: Kuchanganua namna maudhui ya kisiasa yanavyojitokeza katika diwani hiyo. Pili, kubainisha athari za siasa kwa jamii. Na mwisho, kuchanganua mbinu za kisanaa ambazo zilitumiwa na K.W. Wamitila kuendeleza maudhui ya siasa katika diwani hiyo. Nadharia ya uyakinifu wa kijamii imetumika hapa. Mihimili ya nadharia hii ifuatayo ilitufaa sana: Wahusika wameonyeshwa kwa njia ya kiuyakinifu, nadharia hii imesawiri matukio ya kihistoria na wahusika wake kutekeleza matendo yao kitabaka. Utafiti wetu ulikuwa wa maktabani. Tulisoma diwani Kaza Macho kwa kina na kunukuu katika shajara sehemu muhimu ambazo zinalenga malengo yetu. Tulisoma magezeti mbalimbali, tasnifu za wasomi tofauti tofauti, vitabu vya ziada pamoja na kupekua mtandao ili kupata data. Tulichanganua data hiyo kwa kuzingatia madhumni ya utafiti wetu. Uchanganuzi wa data ulifanyika kwa kutumia njia ya uchambuzi wa kimaelezo na ufafanuzi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleMaudhui Ya Siasa Na Athari Zake Katika Jamii: Mifano Kutoka Diwani Ya Kaza Machoen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States