Show simple item record

dc.contributor.authorObwogi, Dickens, B
dc.date.accessioned2022-06-22T11:53:47Z
dc.date.available2022-06-22T11:53:47Z
dc.date.issued2021
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/161124
dc.description.abstractTasnifu hii inahusu uhakiki wa kimtindo wa Utenzi wa Vita vya Uhud nakala ya Haji Chum 1970. Tumehakiki namna vipengele vya kimtindo vimetumika katika utenzi huu kama vile: wahusika na uhusika wao, muundo, tamathali za usemi, mbinu rejeshi, taswira, mandhari na usimulizi. Nadharia ya umtindo imetufaa katika kuhakiki namna vipengele hivyo vimetumika kuufanikisha utenzi wetu. Katika utafiti wetu tumeongozwa na malengo matatu ambayo ni pamoja na kubainisha vipengele vya kimtindo vinavyotumika katika utenzi huu, pili tumechunguza nafasi ya vipengele hivyo katika kufanikisha utenzi wetu na mwisho tumebainisha namna muundo umejitokeza katika Utenzi wa Vita vya Uhud. Tumehakiki sifa za wahusika zinazowatambulisha na uhusika wao katika utenzi huu. Tumegundua kuwa tamathali za usemi zimetumika kumsaidia msanii kuwasilisha dhamira na maudhui ya utenzi huu. Vile vile, katika utenzi huu kuna mandhari ya kivita, kidini na kijiografia ambamo utenzi wenyewe umefumbatwa. Muundo wa utenzi huu pia umejitokeza wazi wazi pamoja na aina tatu za usimulizi zimeangaziwa. Maswali yetu ya utafiti yamepata majibu kikamilifu kwani tumeweza kubainisha wazi vipengele vya kimtindo ambavyo vimetumika katika utenzi huu na kubainisha nafasi zao. Tumefafanua changamoto tulizopitia na kuelezea namna tulivyozisuluhisha. Mwisho tumetoa mapendekezo kwa watafiti wa baadaye kuhusiana na Utenzi wa Vita vya Uhud.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMtindo Katika Utenzi Wa Vita Vya Uhuden_US
dc.titleMtindo Katika Utenzi Wa Vita Vya Uhuden_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States