Show simple item record

dc.contributor.authorMauti, Gladys M
dc.date.accessioned2023-02-22T11:48:03Z
dc.date.available2023-02-22T11:48:03Z
dc.date.issued2022
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/162761
dc.description.abstractSafari ya kukamilisha utafiti huu ilikuwa na changamoto si haba, ila nashukuru kwa ushauri, maelekezo na mawazo ya watu mbalimbali. Mchango wao mkubwa ulipunguza changamoto ambazo zilihusiana na utafiti huu. Natoa shukrani zangu kwa Mungu kwa neema yake katika kipindi hiki cha shahada ya uzamili na kuniwezesha kuikamilisha. Kwa neema ya Mungu tuliweza kuikamilisha tasnifu hii. Ningependa kuwashukuru wasimamizi wangu, Dkt. Mukhwana na Prof. Iribe Mwangi kwa kujitolea kwao kusoma na kunipa marekebisho yaliyonifaa si haba katika kukamilisha kazi hii. Walijitolea kwa hali na mali kunielekeza ipasavyo. Walinihudumia kila nilipowahitaji ingawa walikuwa na majukumu si haba chuoni na katika familia zao. Nawashukuru kwa mawaidha na maelekezo yao ya kitaaluma ambayo yalinifaa. Mungu awabariki na awaongezee hekima. Nawashukuru watoto wangu, Javan Miruka, Nethanel Nyangoto na Shanezah Sarange kwa kunivumilia kipindi cha utafiti wangu. Nililazimika kushughulikia utafiti wangu na kuwanyima nafasi ya kutangamana nao hata wakati wa usiku. Nawashukuru ndugu zangu kwa kusimama nami katika kipindi cha utafiti huu. Vile, siwezi kuwasahau rafiki zangu kama vile Ruth Binyanya na Dorca Getonto kwa kunipa moyo hata wakati nilikuwa nimekosa tumaini la kukamilisha tasnifu yangu. Mungu awabariki. Siwezi kuwasahau pia Hellen Bitutu, Ben Nyang’ate, Vanesa Nyang’arisa, Diana Bosibori , Nixon Ntabo na Yvonne sarange kwa msaada wao. Nawatakia maisha mema.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectLugha Katika Katiba Ya Kenya, Janga La Uviko-19en_US
dc.titleLugha Katika Katiba Ya Kenya: Ujitokezaji Wake Katika Utangazaji Wa Janga La Uviko-19en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States