Show simple item record

dc.contributor.authorKaviti, Fridah M
dc.date.accessioned2013-05-02T11:37:40Z
dc.date.available2013-05-02T11:37:40Z
dc.date.issued2005
dc.identifier.citationTasnifij hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili 'masters of arts'en
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18368
dc.description.abstractTasnifu hii inashughulikia tafsiri za habari zilizotafsiriwa kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Tumetumia magazeti ya Daily Nation na Taifa Leo. Utafiti wetu umechunguza jinsi sintaksia isiposawazishwa ipasavyo katika tafsiri, inaathiri uwasilishaji wa ujumbe na maana iliyonuiwa na mwandishi wa makala asilia. Tasnifu hii imejengeka katika sura lano. Sura ya kwanza ni utangulizi ambao unaelezea kuhusu suala la utafiti, madhumuni ya utafiti, ufafanu!l. wa Nadharia, Nadharia tete na jinsi tuhvvoendesha utafiti wetu. Katika sura ya pili tumeelezea dhana rr.ba!i mbali arnbazo zinalenga mada yetu ya utafiti. Turneyabedili masiala ya kimsingi hasa katika kuielewa dhana ya tafsiri. Sura ya tatu na ya nne ndicho kiini cha kazi yetu. Ni uchambuzi wa makala rnahususikutoka magazeti ya Daily Nation na makala - tafsiri katika Taifa Leo. Katika sura ya tatu turneshughulikia sentensi na vipashio vyake; vishazi, virai na neno. Sura ya nne tumeshughulikia vipashio vingine muhimu vya kisintaksia katika tafsiri, dhzmlra, hall, njeo na usawazishi wa IJtamaduni katika lugha. Sura,ya tano ni hitimisho. Tumeeleza matokeo ya utafiti wetu na athari zake, yaliyojitokeza kuhusu nadharia tete, ufaaji wa mwongozo wetu wa utafiti na kisha tumetoa mapendekezoyetu.en
dc.language.isoenen
dc.titleMakosa ya kisintaksia katika tafsiri za makala magazetinien
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Arts-Kiswahilien


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record