Show simple item record

dc.contributor.authorGicheru, Dominic K
dc.date.accessioned2013-05-03T14:07:13Z
dc.date.available2013-05-03T14:07:13Z
dc.date.issued1999
dc.identifier.citationM.A (Swahili) 1999 Thesisen
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18795
dc.descriptionMaster of Arts Thesisen
dc.description.abstractKatika tasnifu hii tumelinganisha muundo wa Kikundi Nomino cha Kiswahili Sanifu na ule wa Kikuyu cha Kabete huku tukionyesha kufanana na kutofautiana kwake. Hivyo basi tasnifu hii imejikita katika Isimu Linganishi. Sura ya kwanza ni utangulizi wa utafiti ambamo kumejadiliwa mambo kama; Somo la utafiti, maelezo mafupi kuhusu lahaja ya Kikuyu cha Kabete (KK) na Kiswahili Sanifu (KS), madhumuni ya somo tunaloshughulikia, upeo wa somo la utafiti, mipaka ya somo la utafiti pamoja na yale yaliyoandikwa kuhusu somo hili. Pia katika sura hiyo tumezitoa sababu zetu za kuamua kushughulikia somo hili, haipothesia zetu, msingi wa nadharia, pamoja na njia za kufanyia utafiti. Sura ya pili inashughulikia aina za nomino zinazopatikana katika KS na KK pamoja na kufafanua ya nomino hizo kwa njia ya kiulinganisho. Katika sura ya tatu, tumelinganisha muundo wa vipashio vya Kikundi Nomino katika lugha hizi mbili huku tukifafanua na kulinganisha sheria za kiisimu zinazotawala muundo wa vipashio hivyo. Katika ya nne tumejadili kwa undani upatanisho wa kisarufi katika KN cha KS na cha KK kwa njia ya kiulinganisho. Pia tumejadili upatanisho wa kisarufi kati ya KN na KT katika sentensi sahili za KK na KS. Mwisho tumeangalia suala la toni kwa kifupi katika lugha hizi. Katika sura ya tano tumehitimisha kazi hii huku tukitoa mapendekezo kwa watafiti wa siku zijazo.en
dc.description.sponsorshipUniversity of Nairobien
dc.language.isoenen
dc.titleUlinganisho wa muundo wa kikundi nomino cha kiswahili sanifu na wacha Kikuyu cha Kabete.en
dc.typeThesisen
local.publisherDepatment of Linguistics, University of Nairobien


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record