Shake, Rose M (University of Nairobi, 1991)
Utafiti huu umetokana na imani ~wa~ba ukiushi katika
lugha ya kireaongezi ni tukio halisi na dhahiri katika
matumizi ya lugha yo yote ile. (Taz. Max Black, 1968).
Kuifahamu lugha na kuielewa kikamilifu kunahusu pia ...