Browsing Theses and Dissertations by Title
Now showing items 31505-31524 of 46308
-
Municipal solid waste management: contribution and challenges of private solid waste management companies in Nairobi county, Kenya
(University of Nairobi, 2018)Title: Municipal solid waste management: Contribution and challenges of private solid waste management companies in Nairobi County, Kenya Introduction: Solid waste management is a major public health and environmental ... -
Murder: Case for the Abolition of Death Penalty
(University of Nairobi,School of law,, 1984-04-16) -
Museum Exhibitions as Educational Tools: a Case Study of Fort Jesus Museum, Mombasa, Kenya
(University of NairobiInstitute Of Anthropology, Gender And African Studies, University of Nairobi, 2005)The understanding that many people visit the museum because they desire to encounter or learn something new and enrich their lives prompted this study. The study endeavoured to bring out the strategies that will help in ... -
Music as a tool of communication in Electoral campaigns: case study of Gatanga Constituency, Thika District
(Department of Arts- Communication, 2005)This study examined the role of music and song as communication tools in Kenya's electoral campaigns. The study takes music as a form of communication, to the voters, and therefore sought to establish the role it plays ... -
Muslim women in Mombasa Kenya. 1890-1973
(1975)This is a social history of Mombasa Kenya that focuses upon muslim women and their activities. By examining women's economic, social, and ritual practices, this dissertation attempts to explain how colonialism affected ... -
Mutual inhibition, competition, and periodicity in a two species Chemostat-like System
(University of Nairobi, 2013)In this study, we developed a model that addresses competition in a periodic chemostat-like system with mutual growth inhibition. A periodic Kolmogorov system of ordinary differen tial equations ... -
Mutuality and partnership effectiveness: a case study of a triangular cooperation education partnership
(University of Nairobi, 2014)This research project seeks to understand the influence of mutuality on the effectiveness of a partnership through a case study of a school triangular cooperation partnership. This is a partnership between members of the ... -
Muundo Na Uamilifu Wa Chagizo Katika Virai Na Vishazi Vya Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2019)Mada yetu ya utafiti ilikuwa uamilifu wa chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu.Tulidhamiria kuchunguza viambajengo vya aina tofauti za chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu huku tukilenga ... -
Muundo Na Uamilifu Wa Chagizo Katika Viral Na Vishazi Vya Kisw Ahili Sanifu
(University of Nairobi, 2019)Mada yetu ya utafiti ilikuwa uamilifu wa chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu.Tulidhamiria kuchunguza viambajengo vya aina tofauti za chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu huku tukilenga ... -
Muundo Na Usimulizi Katika Riwaya Ya Kiupelelezi Ya Kiswahili
(University of Nairobi, 2022)Tasnifu inahusu uchunguzi wa muundo na usimulizi katika riwaya ya kiupelelezi ya Kiswahili. Ili kufanikisha uchunguzi huu, malengo matatu yalizingatiwa. Malengo hayo yalikuwa; kuchunguza usimulizi katika riwaya ya kiupelelezi ... -
Muundo Wa Simulizi Wa Riwaya Ya Kiswahili : Uchanganuzi Wa Vuta N’kuvute
(University of Nairobi, 2022)Utafiti huu ulichunguza muundo wa simulizi kwenye riwaya ya Vuta N’kuvute yake Adam Shafi. Utafiti wetu ulikuwa na malengo ambayo ni kuchunguza muundo wa simulizi katika riwaya ya Vuta N’kuvute, kuonyesha jinsi vipengele ... -
Mwamko wa wanawake katika tamthilia nne za Penina muhando
(Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 1997)Tasnifuhii ni uhakiki wa maudhui ya Mwamko wa wanawake katika Tamthilia Nne za Penina Muhando nazo ni Hatia. Heshima Yangu Nguzo Mama: na Lina Ubani. Mwongozo wetu katika tasnifu hii ni nadharia ya ufeministi ... -
Mwingiliano Wa Fani Na Maudhui Katika Ushairi Wa Kithaka Wa Mberia
(University of Nairobi, 2014-02-25) -
Mwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara (Mtu Ni Kwao Japo Chini Mwa Irara)
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na malengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika ... -
Mwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara (Mtu Ni Kwao Yapo tini Mwa Irara)
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini lvfwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na maIengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika ... -
Mwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwairara (Mtu Ni Kwao Japo Chini Mwa Irara)
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini lvfwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na maIengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika ... -
Mwingilianomatini Kati Ya Mkaguzi Mkuu Wa Serikali Na Mstahiki Meya
(University of Nairobi, 2016)Tamthilia ya Kiswahili ni mojawapo ya tanzu za Fasihi Andishi ya Kiswahili. Tanzu nyingine ni pamoja na riwaya, ushairi, hadithi fupi, novela na zinginezo. Utanzu wa tamthilia umedhihirisha kwa njia moja au nyingine uhusiano ... -
Mwingilianomatini Kati Ya Mkaguzi Mkuu Wa Serikali Na Mstahiki Meya
(University of Nairobi, 2016)Tamthilia ya Kiswahili ni mojawapo ya tanzu za Fasihi Andishi ya Kiswahili. Tanzu nyingine ni pamoja na riwaya, ushairi, hadithi fupi, novela na zinginezo. Utanzu wa tamthilia umedhihirisha kwa njia moja au nyingine uhusiano ... -
Mwingilianomatini katika fasihi ya Kiswahili: tata za asuminina rosamistika
(Department of Linguistic and Languages, University of Nairobi, 2007-06)Tasnifu hii imehakiki na kutathmini mwingilianomatini katika riwaya mbili za waandishi tofauti: Rosa Mistika (Kezilahabi) na Tata za Asumini (Ahmed). Tasnifu yenyewe ina sura tano. Katika sura ya kwanza tumeshughulikia ... -
Mwingilianomatini Katika Utenzi Wa Fumo Liyongo Na Tamthilia Ya Kifo Kisimani
(University of Nairobi, 2019)Matini huweza kuakisiana kwa namna moja ama nyingine. Sababu ni kwamba, waandishi hujihusisha na kukusanya na kupanga yaliyoko katika kazi za awali ili kuunda kazi zao. Kwa sababu hii, kazi itakayoundwa itakuwa na mshabaha ...