Browsing Theses and Dissertations by Title
Now showing items 44944-44963 of 46189
-
Uchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya matini za Kiswahili: mtazamo wa pragmatiki leksika
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Katika kazi hii tumechanganua kiisimu baadhi ya matini za fasihi ya Kiswahili kwa mtazamo wa Pragmatiki Leksika. Tumeigawa kazi hii katika sura tano. Sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi wa kijumla kuhusu mada, usuli ... -
Uchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya semi katika matini ya kidini: mtazamo wa kipragmatiki
(University of Nairobi, 2015)Lengo kuu katika utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili. Tasnifu hii inahusu uchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya semi katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili katika ... -
Uchanganuzi Wa Kimtindo Wa Zinguo La Mzuka Na Mbaya Wetu
(University of Nairobi, 2015)Utafiti huu ulihusu uchanganuzi wa kimtindo katika Zinguo la Mzuka na Mbaya Wetu. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza matumizi ya sitiari, chuku, tashbihi, tashihisi, kejeli, tanakuzi na oksimora katika tamthilia ... -
Uchanganuzi Wa Kipragmatiki Wa Maana Ya Mawasiliano Katika Jukwaa La Facebook
(University of Nairobi, 2020)Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa maana ya kipragmatiki katika mawasiliano ya jukwaa la Facebook. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza suala la maana ya kipramatiki katika mawasiliano ya jukwaa la Facebook ... -
Uchanganuzi Wa Kipragmatiki Wa Utoupole Katika Filamu Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia suala la utoupole katika filamu nne za Kiswahili kutoka Tanzania ambazo ni Hila, Tabasamu Ghushi, Upepo wa baridi na Majuto ambazo ziliteuliwa kimakusudi ili kutupatia data iliyoweza kufanikisha ... -
Uchanganuzi Wa Kipragmatiki Wa Utoupole Katika Mikutano Ya Kisiasa Nchini Kenya
(University of Nairobi, 2021) -
Uchanganuzi wa kishazi elezi cha kiswahili sanifu mtazamo wa kimofosintaksia
(University of Nairobi, Kenya, 2009)ABSTRACT NOT AVAILABLE -
Uchanganuzi Wa Maendeleo Va Kisemantiki Katika Sheng: Mtazamo Wa Pragmatiki Leksika.
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu tulinuia kuchanganua maendeleo ya kisemantiki katika Sheng tukiongozwa na nadharia ya pragmatiki leksika ya Blutner (1990). IIi kufikia malengo hayo, sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi kwa ujumla. ... -
Uchanganuzi wa maendeleo ya kisemantiki katika sheng: mtazamo wa pragmatiki leksika
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Katika utafiti huu tulinuia kuchanganua maendeleo ya kisemantiki katika Sheng tukiongozwa na nadharia ya pragmatiki leksika ya Blutner (1990). IIi kufikia malengo hayo, sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi kwa ujumla. ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Na Kimofolojia Yanayojitokeza Katika Kazi Andishi Za Wanafunzi Wa Shule Za Upili, Tigania, Jimbo La Meru
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu unalenga kuchanganua na kubainisha makosa ya kifonolojia na kimofolojia yanayojitokeza katika kazi andishi za wanafunzi wa shule za upili za Tigania jimboni Meru. Ili kufanikisha lengo hili, data ilikusanywa ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Na Kimofolojia Yanayojitokeza Katika Kazi Andishi Za Wanafunzi Wa Shule Za Upili, Tigania, Jimbo La Meru
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu unalenga kuchanganua na kubainisha makosa ya kifonolojia na kimofolojia yanayojitokeza katika kazi andishi za wanafunzi wa shule za upili za Tigania jimboni Meru. Ili kufanikisha lengo hili, data ilikusanywa ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Yanayofanywa Na Wazungumzaji Wa Kikamba Wanapojifunza Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2011) -
Uchanganuzi wa makosa ya kifonolojia yanayofanywa na wazungumzaji wa kikamba wanapojifunza Kiswahili sanifu
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Utafiti huu unanura kuchanganua makosa ya kifonolojia yanayofanywa na wazungumzaji wa kikamba kama lugha ya kwanza wanapojifunza Kiswahili sanifu kama lugha yao ya pili. 1Ii kufikia malengo, utafiti huu umetumia nadharia ... -
Uchanganuzi wa makosa yanayofanywa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusii
(University of Nairobi, 2014)Madhumuni ya utafiti huu ni kuchanganua makosa ya kifonolojia, kimofolojia na kisintaksia yanayojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusii. Utafiti huu ulitathmini ni ... -
Uchanganuzi Wa Matini Teule Ya Nyimbo Za Foustine Munishi: Mtazamo Wa Nadharia Ya Upole
(University of Nairobi, 2011)Utafiti huu ulishughulikia uchanganuzi wa matini teule ya nyimbo za Foustine Munishimtazamo wa nadharia ya upole ya Brown na Levinson (1987) has a kipengele cha mikakati ya kuokoa uso. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ... -
Uchanganuzi wa mchezo wa papa shirandula kimaudhui nakimtindo
(University of Nairobi, 2014)Tasnifu hii ni juu ya uchanganuzi kimaudhui na kimtindo wa mchezo wa‘Papa Shirandula’ unaoonyeshwa katika runinga ya ‘Citizen’. Mchezo huu umetungwa na Charles Bukeko na ulipeperushwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 2007 ... -
Uchanganuzi Wa Mtindo Katika Tahariri Ya Gazeti La Taifa Leo
(University of Nairobi, 2016)Tasnifu hii inatoa matokeo ya uchanganuzi wa mtindo katika tahariri ya gazeti la Taifa Leo. Utafiti huu ulinuia kuchanganua uteuzi wa maneno, virai na miundo ya sentensi iliyotumiwa na mwandishi wa tahariri ya Taifa Leo. ... -
Uchanganuzi wa proposisheni katika Kiswahili: nadharia ya uhusiano
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Utafiti huu umeshugulikia uchanganuzi wa proposisheni katika Kiswahili. Tumetumia Nadharia ya Uhusiano ya Sperber, D na Wilson, D. (2003), haswa vipengee vyake ambavyo ni; kanuni ya mawasiliano katika uhusiano na kanuni ... -
Uchanganuzi Wa Vishazi Vumishi Kisintapragmatiki: Ulinganishi Na Ulinganuzi Na Vishazi Vingine Vya Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, Kenya, 2009)Utafiti huu ni kuhusu uchanganuzi wa vishazi vumishi kisintapragmatiki. Vishazi vumishi vina uamilifu wa kisintaksia na nadharia iliyotwnika katika utafiti huu ni Nadharia ya Uhusiano. Kwa hivyo, sintaksia na pragmatiki ... -
Uchanganuzi Wakiisimu -matini wamsimuwa Tisa
(University of Nairobi, 2008)Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa kiisimu-matini wa diwani ya Msimu wa Tisa kwa kujikita katika dhana za muala na mshikamano. Uchanganuzi huu umefanywa kwa kufuata mwelekeo wa kinadharia wa muala wa Halliday na ...