Show simple item record

dc.contributor.authorKapufi, John Obiero
dc.date.accessioned2012-11-13T12:30:00Z
dc.date.available2012-11-13T12:30:00Z
dc.date.issued2010
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/3850
dc.description.abstractTasnifu hii inashughulikia ukiushi wa viambishi-vipatanishi vya ngeli za 3, 4, 6, 9, 10, 11 na 14 unaotokea katika shule za upili za jijini Nairobi. Utafiti huu umezingatia mtazamo wa uchanganuzi wa upotofu. Timeigawa kazi hii katika sura nne. Katika sura ya kwanza nimezungurnzia yafuatayo: utangulizi kuhusu mada inayoshughulikiwa, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti,· nadharia tete, umuhimu wa kushughulikia tatizo hili, upeo na mipaka, yaliyoandikiwa kuhusu uchaganuzi upotofu, msingi wa nadharia, njia za utafiti, ukusanyaji wa data na uchanganuzi wake. Sura ya pili inahusu uainishaji wa ngeli za Kiswahili sanifu. Sura hii inatoa maelezo kuhusu suala muhimu la ngeli za Kiswahili sanifu na kuonyesha jinsi mbali mbali zilizoturniwa kuainishia ngeli za Kiswahili sanifu. Sura ya tatu inahusu uchanganuzi wa data na sababu za upotofu. Makosa haya yameainishwa katika kategoria tofauti na maelelzo kutolewa kuhusiana na sababu zilizopelekea makosa yenyewe kutokea. Katika sura hii ndipo viambishi- vipatanishi vilivyokiukwa zaidi vilibainika baada ya uchanganuzi wa data. Mwisho ni sura ya nne, ambayo inahusu· hitimisho la kazi nzima na mapendekezo kwa upotofu uIiojitokeza. Surahii Imebeba mapendekezo mbalimbali yatakayowafaa watafiti wengine wa siku za usoni.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUkiushi wa viambishi-vipatanishi unaojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wa shule za Upili jijini Nairobien_US
dc.title.alternativeThesis (MA)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record