Mwono ulimwengu wa Waswahili
View/ Open
Date
2006Author
Nyonje, Jacktone Winstone
Mbuthia, EM
Type
ThesisLanguage
enMetadata
Show full item recordAbstract
Tasnifu hii lmegawika katika faslu nne. Sura ya kwanza inahusu pendekezo
la utafiti, sababu za kuchagua somo hili, msingi wa nadharia, malengo,
yaliyoandikwa kuhusu mada, upeo, haipothesia na njia za utafiti. Sura ya
pili imeangazia historia ya Waswahili, ufafanuzi wa dhana ya
mwonoulimwengu, elementi za mwonoulimwengu, njia za kuelezea
mwonoulimwengu wa waswahili. Sura ya tatu inaangalia mwonoulimwengu
wa Waswahili katika kazi ya Carl Velten: Desturi za Waswahili
iliyohaririwa na Lydon Harries, Seira hii imeangia: Hatua mbalimbali za
maisha - kuzaliwa kwa mtoto, malezi ya watoto, elimu, tohara, na ndoa.
Sura ya nne ni hitimisho la tasnfiu.
URI
http://profiles.uonbi.ac.ke/mbuthia/publications/%E2%80%9Cmwono-ulimwengu-wa-waswahili%E2%80%9Dhttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/47921
Citation
Nyonje. 2006. : “Mwono Ulimwengu wa Waswahili” . (Dr. Mbuthia E.M., Ed.)., Nairobi: University of NairobiPublisher
University of Nairobi, Faculty of Arts