Show simple item record

dc.contributor.authorNdege, Magati Charles
dc.date.accessioned2014-01-11T13:15:22Z
dc.date.available2014-01-11T13:15:22Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.citationNdege Magati Charles (2013). Ukuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothyarege Mtazamo Wa Umuundo. Shahada Ya Uzamilien_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/63207
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Cham chela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (2011 ) Sura ya kwanza ni utangulizi, tatizo la utafiti, madhumni ya utafiti, nadharia tete, upeo na mipaka na msingl wa nadharia. Pia, tumejumuhisha yaliyoandikwa kuhusu mada, na mbinu za utafiti zizotumika katika kazi hii. Sura ya pili imeshughulikia msuko kama rnojawapo wa vipengele vya muundo na mchango wake katika tamthilia za Arege. Tumetanguliza kwa kuangazia dhana ya msuko, kanuni za ploti pamoja na mchango wao katika kuendeleza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Arege. Sura ya tatu imeangazia mchango wa wahusika katika kuendeleza dhamira na maudhui. Tumeshughulikia majukumu yao na mchango wao katika kuibua maudhui na dhamira. Sura ya nne nayo imeshughulikia mchango wa matumizi ya lugha katika kudhihirisha ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Arege. Tumeshughulikia tamathali za lugha kama vile tashihisi, balagha, uzungumzinafsia, kuchanganya ndimi, tashbihi, dhihaka, methali, mdokezo, sitiari na kinaya. Sura ya tano inatoa muhtasari wa matokeo ya utafiti na mapendekezo ya tafiti za baadaye.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleUkuaji wa muundo na mawazo katlka tamthilia za Timothy Arege mtazamo wa umuundoen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record