Now showing items 23845-23864 of 24481

    • Udhanaishi na fumbo la Mungu: Uchanganuzilinganishi wakichwamaji (Euphrase kezilahabi) nalapeste (Albert Camus) 

      Kyalo, Ambrose N (Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 2006)
      Katika tasnifu hii tumeshughulikia riwaya zaLa peste (1947) ya Albert Camus na Kichwamaji ya Euphrase Kezilahabi. Tumeangaziajinsi waandishi hao wameshughulikia maswala ya udhanaishi na fumbo la Mungu kwa jumla. Uhakiki ...
    • Ufaaji wa Kiswahili kama lugha ya kisomo 

      Likhako, Pamela Imbuhila (Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 1991)
      Katika tasnifu hii, tumechunguza ufaaji wa Kiswahili kama lugha ya kufunzia katika viwango vyote vya elimu. Tumechunguza utoshelezaji wa Kiswahili katika kufunza hasa masomo ya Kisayansi na taaluma za kiufundi. Tumezingatia ...
    • Ufundishaji Wa Kiswahili Katika Shule Za Upili Chini Ya Mfumo Wa 8-4-4 (Kidato Cha Kwanza) 

      Mungania, G (University of Nairobi,Department of Linguistics & Languages,, 2008)
    • Ugatuzi wa utamaduni wa kikoloni katika tamthilia za Ngugi Wa Thiong'o 

      Ng'ang'a , Samuel Irungu (University of NairobiDepartment of linguistics and African languages, university of Nairobi, 2006-06)
      Tahakiki nyingi za kazi za kifasihi za Kiswahili ambazo zimefanywa kuhusiana na ukoloni na ukoloni rnambo-leo zimejikita katika nadharia ya U-Marx. Tahakiki za aina hiyo hubakia kuangazia suala la uhusiano wa kiuchumi ...
    • Uhakiki linganishi wa kifani wa tenzi za mikidadi na mavasa na swifa va nguvumali 

      Mungai, Paul K (Idara va Isimu na lugha za kiafrika, Chuo kikuu cha Nairobi, 2005-07)
      Tasnifu hii ni juu ya uhakiki-linganishi wa ki-fani wa tenzi za Swifa ya Nguvumali (S Y N M) na Mikidadi na Mayasa(M N M). Utenzi wa M N M ulitungwa na SaidAbdallah Masudiel Buhry miaka mingi kabla ya Karne ya Ishirini. ...
    • Uhakiki Linganishi Wa Kifani Wa Tenzi Za Mikidadi Na Mavasa Na Swifa Va Nguvumali 

      Mungai, Paul K (University of Nairobi, 2005)
      Tasnifu hii ni juu ya uhakiki-linganishi wa ki-fani wa tenzi za Swifa ya Nguvumali (5 Y N M) na Mikidadi na Mayasa(M N M). Utenzi wa M N M ulitungwa na SaidAbdallah Masudiel Buhry miaka mingi kabla ya Karne ya Ishirini. ...
    • Uhakiki Linganishi Wa Sifa Za Mashujaa: Sakawa Na Fumo Liyongo 

      Kemunto, Judith (University of Nairobi, 2015)
      Kuna tafiti kadhaa zilizowahi kufanywa kuhusu majagina wa Kiafirika. Hata hivyo hakuna utafiti linganishi uliowahi kufanywa kuwahusu Fumo Liyongo na Sakawa. Tasnifu hii inazilinganisha sifa zao jinsi zinavyojitokeza katika ...
    • Uhakiki wa bina-damu! (2002) na Musaleo! (2004) na K.W. Wamitila. 

      Nyabunga, Vince A (Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 2005)
      Utafiti huu umeshughulikia suala la uhalisiajabu katika riwaya za fasihi ya Kiswahili. Riwaya zilizohakikiwa ni Bina-Adamu!(2002) na Musaleo!(2004) za K.W. Wamitila. Nadharia ilyoongoza utafiti huu ni kitengo kimoja cha ...
    • Uhakiki Wa Fani Katika Ngano Tano Za Kiswahili 

      Oyoyo, Jenipher O (University of NairobiCollege of Humanities and Social Sciences, 2013)
      Tasnifu hii imeshughulikia fani katika ngano teule za Kiswahili kwa kutumia nadharia ya umuundo. Tasnifu hii ina sura sita. Katika sura ya kwanza, tumeangalia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua ...
    • Uhakiki Wa Fani Katika Riwaya Za Katama Mkangi 

      Njuguna, Ndungu (University of Nairobi, 1996)
      Tasnifu hii inashughulikia fani katika riwaya tatu za Katama Mkangi. Kazi hizi ni: Ukiwa (1975), Mafuta (1984) na Walenisi (1995) . Katika tasnifu hii kuna sura tano. Sura ya kwanza ni pendekezo la utafiti ambapo ...
    • Uhakiki wa fani katika tamthilia za K.W. Wamitila 

      Kahiro, Duncan M (University of NairobiFaculty of Arts Kiswahili, 2005)
      Tasnifu hii ni uhakiki wa fani katika tamthilia za Kiswahili ambazo zimetungwa na Wamitila, K.W. Tamthilia hizi ni Wingu La Kupita (1999) na Pango (2003). Katika tahakiki yetu, tumeteua na kujadili vipengele maalum vya ...
    • Uhakiki wa fani katika tenzi za howani mwana howani na mwanakukuwa za Zaynab Himid Mohammed 

      Mbayi, Lina A (University of Nairobi, Kenya, 2009)
      Utafiti huu unahusu uhakiki wa (ani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu ...
    • Uhakiki Wa Fani Katika Tenzi Za Howani Mwana Howani Na Mwanakukuwa Za Zaynab Himid Mohammed 

      Mbayi, Lina A (University of Nairobi, 2009)
      Utafiti huu unahusu uhakiki wa fani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu ...
    • Uhakiki wa fani katika utendi wa mwana ninga: nadharia ya umuundo 

      Murage, Joyce N (University of Nairobi, Kenya, 2011)
      Utafiti huu unahusu uhakiki wa fani katika Utendi wa Mwana Ninga. Nakala tunayotumia ni ya H.E Lambert katika (Bulletin No.23 of the East African Inter-territorial Language Committee). Utendi huu unaaminiwa kuwa ulitungwa ...
    • Uhakiki wa fani katlka Tamthilia za K.W.Wamitila. 

      Mwangi, Duncan, K (University of Nairobi, 2005)
      Tasnifu hii ni uhakiki wa fani katika tamthilia za Kiswahili ambazo zimetungwa na Warnitila, K.W. Tamthilia hizi ni Wingu La Kupita (1999) na Pango (2003). Katika tahakiki yetu, tumeteua na kujadili vipengele maalum vya ...
    • Uhakiki wa hali ya vijana katika riwaya ya Vipanya vya Maabara 

      Naliaka, Ruth (University of Nairobi, Kenya, 2012)
      Utafiti huu umeshughulikia uhakiki wa hali ya vijana katika Vipanya rya Maabara kwa kuegemea maudhui na wahusika. Katika sura ya kwanza, tumeangazia Somo la Utafiti, Madhumuni, Nadharia Tete, Sababu za kuichagua mada hii, ...
    • Uhakiki wa kifani katika utenzi wa siri li asirali na utenzi wa mwana Fatuma 

      Wepoh, Eric W (2005)
      Kazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa ...
    • Uhakiki Wa Kifani Katika Utenzi Wa Siri Li Asirali Na Utenzi Wa Mwana Fatuma 

      Wepo, Eric W (University of Nairobi, 2005)
      Kazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa ...
    • Uhakiki Wa Kimaudhui Na Kifani Wa Kidagaa Kimemwozea 

      Rono, Pauline (University of NairobiDepartment of Linguistics, 2013-11)
      Tasnifu hii ilishughulikia uhakiki wa kifani na kimaudhui wa Kidagaa Kimemwozea ya Ken Walibora(2012). Tuliangalia maudhui na tulinuia kuonyesha mbinu zilizotumiwa katika kuwaumba wahusika na jinsi wahusika vijana ...
    • Uhakiki Wa Maudhui Na Mtindo Katika Tikitimaji 

      Muthoni, Margaret (University of Nairobi, 2014-11)
      Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ...