Ndege, Magati Charles (University of Nairobi, 2013)
Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy
Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Cham chela (2007), Kijiba
cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (2011 )
Sura ya kwanza ...