Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM): Recent submissions
Now showing items 521-540 of 24487
-
Mada Na Fokasi Katika Kiswahili Sanifu: Mtazamo Wa Muundo Wa Taarifa.
(University of Nairobi, 2009)Utafiti huu umeshughulikia mada na fokasi katika Kiswahili Sanifu. Tumechunguza na kuchanganua tungo ambazo hutambulisha mada na fokasi huku tukitolea maelezo na ufafanuzi wa kina, Malengo ya utafiti huu ni kuchunguza ... -
Mikakati Ya Upole Ya Lugha Katika Matumizi Ya Lugha Ya Vijana'
(University of Nairobi, 2010)Utafiti huu ulilenga kutambulisha mikakati ya upole ya lugha inayotumiwa na vijana katika matumizi yao ya lugha. Vijana wamechukuliwa kama kundi lisilokuwa na hadhari pale linapoitumia lugha katika mazungumzo yanayozungukia ... -
Mitazamo Ya Vijana Na Wazee Kuhusu Ukombozi Wa Mwanamke Katika Tamthilia Tatu Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2007)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kushughulikia swala la mitazamo ya vijana na wazee kuhusu ukombozi wa mwanamke katika tamthilia tatu za Kiswahili. Tamthilia zilizoteuliwa ni: Kitumbua kimeingia mchanga (2000) S. ... -
Taswira Ya Gereza Inavyoendeleza Maudhui Katika Riwaya Yahainiyaadam Shafi.
(University of Nairobi, 2007)Tasnifu hii imechunguza namna taswira ya gereza inavyotumiwa kuendeleza maudhui katika Haini riwaya ya Adam Shafi. Tasnifu hii ina sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, ... -
Taswlra Ya Mwanamke Katika Tamthilia Mbili Za Kiswahilil
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu umeshughulikia taswira ya mwanamke katika tamthilia mbili za Kiswahili. Tumeangalia picha ambayo mwanamke amepewa na jamii katika tamthilia za Kilio Cha Haki (1981) na Pango(2003). Katika sura ya kwanza ... -
Uhakiki Wa Maudhui Teule Katlka Utendi Wa Mikidadi Na Mayas"
(University of Nairobi, 2012) -
Matatizo Yanayodhihirika Katika Matinl Tafsiri Za Kimatibabu Kutoka Kiingereza Hadl Kiswahili: Utafiti Kielelezo Katlka Hospitali Ya Kisii Level 5
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa matatizo katika matini tafsiri za kimatibabu kutoka lugha ya Kiiingereza hadi Kiswahili. Umuhimu wa mawasiliano katika taaluma ya kimatibabu ni jambo ambalo haiwezi kufumbiwa macho kwa ... -
Mchango Wa Sitiari Za Kiswahili Katika Kauli Za Kichochezi Kwenye Diskosi Ya Kisiasa Nchini Kenya
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu ulichunguza jinsi sitiari za Kiswahili hujitokeza katika kauli za wanasiasa na jinsi wanasiasa huweza kuzitumia kueneza kauli za kichochezi nchini Kenya. Vile vile, jinsi lugha ya Kiswahili ijapokuwa ni lugha ... -
Maudhui na Mtindo Katika Utenzi Wa Vita Vya Uhud
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu umehusu maudhui na mtindo katika Utenzi wa Vita vya Uhud wa Haji Chum (1959). Tumechunguza maudhui mbalimbali yanayojitokeza kwenye utenzi huu. Tumeshughulikia vipengele mbalimbali vya kimtindo vikiwemo ... -
Mtindo Katika Arusi Ya Buldoza Na Hadithi Nyingine
(University of Nairobi, 2007)Tasnifu hii imeshughulikia mtindo katikaArusi ya Buldoza na Hadithi Nyingine. Tasnifu hii ina sura tano. Katika sura ya kwanza, tumegusia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua mada, nadharia tete,upeo ... -
Uhakiki Linganishi Wa Kifani Wa Tenzi Za Mikidadi Na Mavasa Na Swifa Va Nguvumali
(University of Nairobi, 2005)Tasnifu hii ni juu ya uhakiki-linganishi wa ki-fani wa tenzi za Swifa ya Nguvumali (5 Y N M) na Mikidadi na Mayasa(M N M). Utenzi wa M N M ulitungwa na SaidAbdallah Masudiel Buhry miaka mingi kabla ya Karne ya Ishirini. ... -
Mchango Kwa Vijana Kuleta Mabadiliko Chanya Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua la Asubuhi zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, ... -
Makosa Ya Kimofosintaksia Katlka Lugha Ya Kimaongezi Dhidi Ya Kanuni Za Lugha Ya Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2015-11)Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kutathmini na kuchanganua makosa ya kimofosintasia katika lugha ya kimaongezi kwa wanafunzi na walimu katika kaunti ndogo ya Kangema. Walimu na wanafunzi tuliojihusisha nao walikuwa ni ... -
Arki Za Simulizi Bunilizi Katlka Utendi Wa Mikidadi Na Mayasa
(University of Nairobi, 2012-07)Utafiti huu unashughulikia arki za simulizi bunilizi katika Utendi wa Mikidadi na Mayasa. Arki ni sifa za usimulizi wa hadithi bunilizi au halisi. Ni vipengele vya kimuundo ambavyo hutumika kwa njia tofauti tofauti ... -
Usawiri Chanya Wa Wahusika Wanawake Katika Tamthilia Za Zilizala Na Chamchela
(University of Nairobi, 2009-07)Tasnifu hii inahusu usawiri chanya wa wahusika wanawake katika tamthilia za Zilizala na Chamchela. Sura ya Kwanza, mambo muhimu yaliyojadiliwa ni; Utangulizi, Tatizo la Utafiti, Madhumuni ya utafiti, Nadharia Tete, sababu ... -
Mofofonolojia Ya Nomino Mkopo Za Kiturkana Kutoka Kiswahili
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu unahusu mofofonolojia ya nomino mkopo za Kiturkana kutoka Kiswahili ambapo tumechanganua mifanyiko ya kimofofonolojia ambayo nomino mkopo za Kiturkana kutoka Kiswahili hupitia ndipo zikubalike katika Kiturkana. ... -
Utendaji Katika Tamthilia Za Sudana Na, kimya Kimya Kimya
(University of Nairobi, 2014)Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya utendaji iliyoasisiwa na Wallace Bacon ili kubainisha ikiwa tamthilia za Sudana na Kimya Kimya Kimya zimezingatia kigezo kikuu katika matini za kidrama ambacho ni uwezo wa kuwasilishwa ... -
Challenges Of Electronic Commerce On Tax: Towards A Suitable Tax Policy On E-commerce For Sustainable Development In Kenya
(University of Nairobi, 2005) -
Health Management Organizations In Kenya Towards An Effective Framework For Their Regulation And Management
(University of Nairobi, 2005)