Show simple item record

dc.contributor.authorKhamis, Biasha S
dc.date.accessioned2015-12-07T08:35:11Z
dc.date.available2015-12-07T08:35:11Z
dc.date.issued2015-11
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/93004
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughukilia usimulizi katika tamthilia ya Kijiba cha Moyo na Mstahiki Meya kwa kutumia nadharia ya naratolojia kwa mtazamo wa Genette (1972-1983). Utafiti huu una malengo mawili: Kwanza, kubainisha vipengele vya usimulizi. Pili, kujadili dhima ya vipengele vya usimulizi katika tamthilia za Kijiba cha Moyo na Mstahiki Meya. Vipengele vilivyochunguzwa ni pamoja na kipengele cha wakati, daraja na sauti za usimulizi na wahusika na uhusika. Utafiti huu umeongozwa na nadharia tete zifuatazo: (i) Usimulizi unadhihirika katika tamthilia. (ii) Vipengele vya usimulizi hutekeleza dhima maalum katika tamthilia. Kutokana na utafiti wetu nadharia tete zetu zimethibitika. Matokeo ya utafiti huu yamedhihirisha kuwa usimulizi upo katika tamthilia na imebainika kuwa vipengele vya usimulizi vina dhima muhimu katika kusimulia hadithi na kupitishia maudhui na dhamira katika tamthilia kama ilivyo katika riwaya na hadithi fupi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleUhakiki wa usimulizi katika tamthilia ya kijiba cha moyo na mstahiki meyaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record