Show simple item record

dc.contributor.authorKinyua, Gladys W.
dc.date.accessioned2016-04-21T09:38:34Z
dc.date.available2016-04-21T09:38:34Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/94561
dc.description.abstractUpole ni suala muhimu sana katika kuanzisha na kudumisha mahusiano mema baina ya wanajamii. Ili kudumisha mahusiano hayo, wazungumzaji wakati wote hulazimika kutumia mikakati mbalimbali ya upole ili kuhifadhi nyuso zao na za wenzao.Tasnifu hii ni uchunguzi wa jinsi ukiushi wa kanuni za upole umetumiwa katika Mhanga Nafsi Yangu ili kujenga na kuendeleza maudhui. Uchunguzi huu ulinuia kubainisha iwapo ukiushi wa kanuni za upole katika riwaya hii umefaulu kujenga na kuendeleza maudhui makuu katika riwaya teule. Ulinuia pia kubainisha ni wahusika wapi wametumiwa kuendeleza maudhui makuu. Tulikusudia pia kuchunguza kama nadharia ya upole ya Brown na Levinson (1987, 1978) na kanuni za upole za Grice (1975) zinaweza kutumika kuchanganua kazi ya fasihi andishien_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleUkiukaji Wa Kanuni Za Upole Katika Mhanga Nafsi Yanguen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record