Nafasi ya dini katika jamii ya kisasa kama ilivyosawiriwa katika riwa ya za nguvu ya sala, walenisi na babu alipofufuka
Abstract
Katika kazi hii tumezihakiki riwaya za Nguvu ya Sala (i995) ya K. W Warnitila, U/aie171si (1998) ya K. Mkangi na Babu Alipofufuka (2003) ya S.A. Mohamed. Tumeangalia jinsi waandishi hawa wamelishughulilcia swala la dini na kuonyesha nafasi yake katika jamii ya kisasa.
Uhakiki huu umegawanywa katika sura tano. Katika sura ya kwanza turneelezea sorno la utafiti, madhurnuni, sababu za kulichagua sorno hili, mipaka na upeo na yaliyoandikwa kuhusu swala la dim. Aidha tumeelezea misingi ya kinadharia iliyoturniwa katika utafiti huu. Pia turneelezea njia tulizozitumia katika utafiti wetu.
Katika sura ya pili, turneangalia jinsi dini ilivyosawiriwa katika riwaya ya Nguvu ya Sala. Tumeonyesha jinsi athari mbalirnbali za dini zilivyojitokeza katika riwaya hasa katika kizazi kipya. Turneonyesha jinsi wakati mwingine utarnaduni wa wanajamii unavyopata ushindi ukilinganishwa na dini.
Katika sura ya tatu, tumeshughulikia dini katika riwaya ya Walenisi. Hapa turneonyesha jinsi dim ilivyoturniwa na inavyotumiwa kuwalainisha na kuwadhulurnu watu na kuwajaza kasurnba ya rnaisha merna ya baadaye huko Peponi huku wakiteseka duniani.
Katika sura ya nne, turnechunguza dini katika riwaya ya Babu Alipofufuka ambapo tumeonyesha jinsi ukengeushi unavyoweza kuwafanya wakwasi waidharau dini kiasi
cha kujitoshanisha na miungu
Sura ya tano ni hitimisho na mapendekezo.