• Login
    View Item 
    •   Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • -College of Humanities and Social Sciences (CHSS)
    • View Item
    •   Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • -College of Humanities and Social Sciences (CHSS)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Ulinganishi wa kirai tenzi cha ks na ek kimofosintaksia: mtazamo wa uminimalisti

    Thumbnail
    View/Open
    Fulltext (5.397Mb)
    Date
    2005
    Author
    Oichoe, Mary P
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Kazi hii ni jaribio 1a kutafiti kiulinganishi kirai tenzi eha 1ugha ya Ekegusii na Kiswahili sanifu,kwa kutumia nadharia ya uminimalisti.Tumeshughu1ikia kirai tenzi kimuundo na kiupatanishi kwa kutumia kanuni ya kukagua sifa ya uminima1isti. Kwa muhtasari tumepanga kazi hii katika sura tano .Sura ya kwanza tumeshughu1ikia utangu1izi wa mada yetu kwa kue1eza kirai tenzi ni nini,tumetoa kwa ufupi utangu1izi wa 1ugha hizi mbili.Pia, tumeeleza juu ya tatizo la utafiti, nadharia tete,madhumuni ya somo hili,umuhimu wa utafiti huu,msingi wa nadharia yetu,udurusu wa kazi mbalimbali kuhusu mada yetu na njia za utafiti mbalimbali. Katika sura ya tatu tumeweka msingi wa kirai tenzi kwa kuangalia vipashio vyake.Tumechunguza makundi ya nomino kimofolojia na kisintaksia katika sura ya pili.Sura ya tatu,tumeangalia rnuundo wa k.ilenz.i kuuofolojia kwa kutazama uambishaji na unyambuaji wake.Vipashio vya kirai tenzi tumeviehambua kimuundo katika sura ya nne. Katika sura hiyo pia tumetoa uehanganuzi wa kirai tenzi kwa kutumia kanuni ya kukagua sifa ya uminimalisti.Sura ya sita tumetoa hitimisho na mapendekezo yetu kuhusu kazi hii.Tuligundua kuwa nadharia hii inafanya kazi katika lugha hizi, ingawa zinatofautiana kimuundo na kufanana pia.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18398
    Collections
    • -College of Humanities and Social Sciences (CHSS) [21630]

    UoN Digital Archive copyright © 2002-2015  Library Department
    Contact Us | Send Feedback
     

     

    Browse

    All of RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    UoN Digital Archive copyright © 2002-2015  Library Department
    Contact Us | Send Feedback