Show simple item record

dc.contributor.authorMukhata, Chrispinus W
dc.date.accessioned2012-11-13T12:28:28Z
dc.date.available2012-11-13T12:28:28Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/handle/123456789/3165
dc.description.abstractTasnifu hii inahusu uhakiki wa riwaya ya Nyuso za mWfllUllllke (2010) ya Saidi Ahmed Mohamed kwa mtazamo wa saikolojia changanuzi. Madhuniuni ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha, kuchanganua na kubainisha mitagusano inayoibuka katika jamii iliyosawiriwa katika riwaya ya Nyuo ZII MHwlllllffke na athari zake kwa wahusika. Hi kuthibitisha hili tulilenga kubainisha mbinu za usukaji wa matukio yenye mwelekeo wa kisaikolojia, Pia, tulidhamiria kuonyesha jinsi mwandishi alilrnsudia kuwasawiri wahusika iii kudokeza msukumo wa matendo yao na hali zao za kisaikolojia Aidha, tulilenga kuonyesha riwaya hii kama riwaya ya kisaikolojia mbali na kubainisha maendeIelo ya riwaya ya kisaikolojia katika kitengo cha kimaudhui, kiutanzu., kihusika, kimsuko na kimtindo. Madhumuni haya yote yalidhamiria kuchangia uelewa wa kazi za kifasihi hususani riwaya ya Kiswahili kwa ujumla wake. Katika utafiti wetu tuliongozwa na nadharia tete tatu. Kwanza, tulitaka kubainisha kama riwaya ya NyIUO M_fIIIIke maweza kuainishwa kama riwaya ya kisaikolojia Pili, kama riwaya ya Nyuso ZII MwalUlllflce inaonyesha ukamilifu katika kipengele cha umbuji wa wahusika kati ya vipengele vingine vya riwaya ya kisaikolojia Na tatu., kama mtindo si nyenzo kuu ya kuilHlda kisanii riwaya ya NY'so za mwtUUllllke kama riwaya ya kisaikolojia, Kati ya nadharia tete hizi tatu nadharia mbili za mwanzo zilitimilika vizuri huku tukipata kuwa mtindo ni nyenzo kuu katika lruiunda riwaya hii kisanii kama kazi ya kisaikolojia. Utafiti huu ulikuwa wa maktabani. Tulidurusu riwaya husika na kazi nyingine za wataalamu wa fasihi hasa fasihi ya Kiswahili kwa undani. Pia, tulirejelea riwaya nyingine za kisaikolojia za Kiswahili iIi tupate wasifu wa riwaya ya kisaikolojia vizuri. Kwa maoni yetu, ingekuwa vyema kama utafiti huu ungehusisha udurusu wa shajara za mwandishi huyu pamoja na kuwahoji watu walio karibu naye iIi kujua maisha yake. Kufanya hivi kungetuwezesha kuchanganua saikolojia yake ipasavyo. Katika utafiti huu nadharia ya saikolojia ehanganuzi ilitufaa sana llitufaa katika uehanganuzi wa mwndo na wasifu wa ploti, umbuji wa wahusika na mtindo wa usanii wa kazi husika. lIitufaa pia kuonyesha maudhui kama motifu inayojitokeza katika kazi hii na kazi zake za awali pamoja na kuonyesha kuwa maudhui haya ni akisi ya uhalisi ulio dhabiri katika jamii iliyosawiriwa Hata hivyo, nadharia hii inajikita sana katika kusawiri hali za kisaikolojia za wahusika na mwandishi na kwa bivyo inawafanya waooekane kama watu walio na matatizo ya kisaikolojia Mbali na hayo, inao udhaifu wa kuiona kazi ya kifasihi kama ndoto na kwa maana hiyo huenda wasomaji wakaichukulia hivyo na kuipuzilia mbali kama isiyo na mashiko na uhalisi. Mbali na kuwa riwaya ya kisaikolojia haina historia ndefu imeonyesha ukuaji mkubwa sana. Kwa maoni yetu kilele eha ~i boo ni riwaya ya N}wtJD Z4I MMllllllllke Kwanza, matukio katika riwaya hii yamesukwa kwa ufundi mkubwa na uehangamano kwa mbinu za kisaikolojia kwa lengo la kuonyesha uhusiaoo kati ya matukio hayo na bali za kisaikolojia za wahusika Mbinu hizi ni kama uzungurnzinafsi ndani, dayolojia ya ndani, mkondo wa ung' amuzi, mbinu rejeshi, barua, ndoto na nyimbo. Wahusika wengi wamesawiriwa kisaikolojia kwa lengo la kudoke7.a hali zao za ndani na wanaonyesha mwelekeo mkubwa wa ubanaji, uhawilisho, uhusishi na ubadilishaji kama inavyojitoke7.a katika wahusika Nana, Faisal na Bimkubwa Maudhui yarnejitoko.a kama motifu katika kazi hii na kazi za awali pamoja na kuwa akisi ya uhalisi katika jamii husika Mtindo umetumika kwa ufundi mkubwa katika vipengele vyote vya fani. Uhusika umewadokeza wahusika kisitiari na kiishara kama inavyoonekana katika wahusika Nana, Bimkubwa na Faisal. Lugha ya kitarnatha1i imetumika kwa upana sana hasa maswali ya balagha, tasifida, ritifaa, taashira na ishara kwa uamilifu mkubwa wa kisaikolojia na kuehangia kukuza wasifu wa wahusika na maudhui. Mbinu za uwasilishaji mawazo, usimulizi, italiki na sintaksia yenye nyufa zinajitokeza kwa uwazi. Mwisho, tumeiona riwaya hii kuwa ya kuvutia na kusisimua na yenye uchangamano pamoja na kule kuweza kuibua masuala tata na nyeti katika jarnii husika Kupitia uchanganuzi wake, tumepata kuwa riwaya ya kisaikolojia iii riwaya ya kipekee katika taaluma ya fasihi. Upekee huu urnejitokeza katika usawiri wa wahusika kisaikolojia kwa kutoa mawazo, fikira na hisia za ndani za wahusika. Riwaya hii pia imetumia mbinu tendati zinazoifanya iwe na miondoko ya tamthilia kama uzungurnzinafsi ndani, dayolojia ya ndani, uwasilishaii halisi wa mawazo, uwasilishaji halisi ht.uU wa rnawazo na mkondo wa ung' amuzi. Kwa njia hii inaweza kunasa ragbba ya msosi yeyote.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi, Kenyaen_US
dc.titleUhakiki wa riwaya ya nyuso za mwanamke na Said Ahmed Mohamed: Mtazamo wa saikolojia changanuzien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record