Show simple item record

dc.contributor.authorRono, Pauline
dc.date.accessioned2013-11-26T09:41:58Z
dc.date.available2013-11-26T09:41:58Z
dc.date.issued2013-11
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/60431
dc.descriptionTasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili katika Chuo Kikuu cha Nairobien
dc.description.abstractTasnifu hii ilishughulikia uhakiki wa kifani na kimaudhui wa Kidagaa Kimemwozea ya Ken Walibora(2012). Tuliangalia maudhui na tulinuia kuonyesha mbinu zilizotumiwa katika kuwaumba wahusika na jinsi wahusika vijana walivyopigania kuondoa ukoloni mambo leo katika nchi ya Tomoko. Pamoja na hayo tulishughulikia nadharia tete ya uhakiki ambayo ni mhimili wa utafiti huu. Sababu za kuchagua mada pia zimeelezwa. Kazi yetu iliangazia maudhui, fani na wahusika. Kwa vile kuna njia nyingi za kuwasiri wahusika sisi tumejibana kwa wahusika wakuu, wasaidizi na wajenzi. Misingi ya nadharia za uhalisia wa kijamaa na umuundo imezingatiwa katika uhakiki wetu. Nadharia ya uhalisia wa kijamaa ni kwa mujibu wa wanafalsafa kama vile George Lukacs, Marxim Gorky, Zandnov na wengineo. Nadharia ya umuundo ni kwa mujibu wa Ferdinand De Saussure. Nadharia hii kuchunguza vipengele vya kazi ya sanaa, jinsi vinavyohusiana hadi kuikamilisha kazi hiyo. Huangalia namna sehemu mbalimbali za kazi ya sanaa zimefungamana. Mbinu za utafiti tulizotumia ni za maktabani ambapo tulirejelea makala mbalimbali yakiwemo majarida, tasnifu na vitabu kadha wa kadha.en
dc.language.isoenen
dc.publisherUniversity of Nairobien
dc.titleUhakiki wa kimaudhui na kifani Wa kidagaa kimemwozeaen
dc.typeThesisen
local.publisherDepartment of Linguisticsen


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record