• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Education (FEd)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Education (FEd)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Maudhui ya kiukombozi katika diwani ya jicho la ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed

    Thumbnail
    View/Open
    Full text (797.6Kb)
    Date
    2015-10
    Author
    Mwazani, Zani E
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Katika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicho la Ndani, iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika diwani hii. Hata hivyo tuligundua pia kwamba Said A. Mohamed alishughulikia maudhui mengine pia yakiwemo yale ya unyumba, siasa, dini na kadhalika. Tumeyasoma mashairi yote 96, na kugundua kwamba takriban mashairi 62 yameshughulikia mada hii ya ukombozi kwa njia moja au nyingine. Katika utafiti wetu, tumetumia nadharia ya uhalisia wa kijamii, na vigezo vyake vimetumika vilivyo katika utafiti huu. Nadharia hii iliwezesha kuhakiki maudhui ya kiukombozi kufungamana na mfumo wa jamii husika. Matokeo ya utafiti wetu yalidhihirisha kwamba mwandishi aliyashughulikia pakubwa maudhui ya kiukombozi, nia yake ikiwa ni kuwazindua wanyonge waione haja ya kujipigania waupate ukombozi.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/95198
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Education (FEd) [6065]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback