Maudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed

dc.contributor.authorZani, Mwazani, E
dc.date.accessioned2021-10-01T12:24:43Z
dc.date.available2021-10-01T12:24:43Z
dc.date.issued2015
dc.description.abstractKatika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicha fa Ndani. iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika diwani hii. Hata hivyo tuligundua pia kwamba Said A. Mohamed alishughulikia maudhui mengine pia yakiwemo yale ya unyumba, siasa, dini na kadhalika. Tumeyasoma mashairi yote 96, na kugundua kwamba takriban mashairi 62 yameshughulikia mada hii ya ukombozi kwa njia moja au nyingine. Katika utafiti wetu, tumetumia nadharia ya uhalisia wa kijamii, na vigezo vyake vimetumika vilivyo katika utafiti huu. Nadharia hii iliwezesha kuhakiki maudhui ya kiukombozi kufungamana na mfumo wa jamii husika. Matokeo ya utafiti wetu yalidhihirisha kwamba mwandishi aliyashughulikia pakubwa maudhui ya kiukombozi, nia yake ikiwa ni kuwazindua wanyonge waione haja ya kujipigania waupate ukombozi.en_US
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155579
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMaudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohameden_US
dc.titleMaudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohameden_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Zani_Maudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed.pdf
Size:
61.7 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full-text

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: