Show simple item record

dc.contributor.authorNdonye, Lilian, N
dc.date.accessioned2017-12-14T11:04:03Z
dc.date.available2017-12-14T11:04:03Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/101918
dc.description.abstractTasnifu hii inahusu matumizi ya rangi kama mbinu ya usimbaji maana katika diwani ya Rangi ya Anga ya Kithaka wa Mberia. Tumelenga kuchunguza dhima ya rangi kama ilivyotumika katika diwani teule. Vile vile, tulibainisha ishara mbali mbali zinazowakilishwa na rangi tofauti tofauti. Pia, tulilenga kuweka wazi vichochezi vinavyomsukuma mtunzi huyu kutumia rangi katika kazi yake. Haya yote tuliyaweza kwa kutumia nadharia ya semiotiki inayohusu ishara na uashiriaji kwa kuegemea mkondo uliopendekezwa na Charles Pierce. Hii ni kwa sababu kila rangi imetumika kama ishara yenye maana baada ya kutafsiriwa. Nadharia ya semiotiki inashughulika ishara na maana zake kama zinavyotafsiriwa na wanajamii kutokana na mazoea yao ya kuzitumia.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectRangi Kama Mbinu Ya Usimbaji Maana Katika Diwani Ya Rangi Ya Anga (Kithaka Wa Mberia)en_US
dc.titleRangi Kama Mbinu Ya Usimbaji Maana Katika Diwani Ya Rangi Ya Anga (Kithaka Wa Mberia)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States