Show simple item record

dc.contributor.authorMunyao, Rose, M
dc.date.accessioned2017-12-14T12:13:46Z
dc.date.available2017-12-14T12:13:46Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/101937
dc.description.abstractTasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na malengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika kufumbata dhamira ya mwandishi wa Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara. Pili, kuchanganua kwa kina maudhui kama kipengele cha fasihi katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara na mwisho kutathmini mchango wa mandhari katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara. Tuliongozwa na nadharia ya uhalisia wa kijamaa katika kuchanganua kazi hii. Tumefanya uchanganuzi wa maudhui kama kipengele cha fasihi kwa kina. Aidha, tumechanganua mchango wa mandhari katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara na kubaini kuwa kazi hii imejengwa katika mandhari halisi inayofahamika na wanajamii. Vilevile, tumechunguza jinsi historia na fasihi zinavyoingiliana na kutegemeana kwa ujumla kabla ya kujibu swali letu la utafiti la mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara. Matokeo ya utafiti huu yamedhihirisha kuwa mtunzi wa Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara ameathiriwa na historia ya jamii yake kwa kiwango kikubwa.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectMwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara (Mtu Ni Kwao Japo Chini Mwa Irara)en_US
dc.titleMwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara (Mtu Ni Kwao Japo Chini Mwa Irara)en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States