Wafula, Michael (University of Nairobi, 2019)
Utafiti huu unalenga kubainisha namna mtazamo wa kipragmatiki unaweza kutumiwa kuihakiki
kazi ya fasihi. Ili kufanikisha lengo hili, tamthilia ya Pango iliteuliwa kimakusudi ili ilitupatie
data ya utafiti huu. Data ya ...