Now showing items 1-1 of 1

    • Mofofonolojia Ya Maneno Mkopo Ya Kiarror Kutoka Kiswahili 

      Yego, Mercy J (University of Nairobi, 2022)
      Utafiti huu unachanganua jinsi maneno yanavyokopwa na Kiarror kutoka lugha ya Kiswahili na kufanywa yakubalike kifonolojia na kimofolojia katika lugha ya Kiarror kwa kuzingatia muundo wa kisarufi wa lugha hiyo. Kiswahili ...