Now showing items 1-1 of 1

    • Fani Katika Kazi Teule Za Mohammed Said Abdulla 

      Amisi, Yunny (University of Nairobi, 2023)
      Utafiti huu ulichunguza msuko, usimulizi na matumizi ya lugha katika kazi teule za M. S. Abdulla: Kisima cha Giningi (1968) na Kosa la Bwana Msa (2007). Malengo ya utafiti huu yalikuwa yafuatayo: kudhihirisha aina za misuko ...