dc.contributor.author | Obure, Elijah M | |
dc.date.accessioned | 2013-02-26T08:00:31Z | |
dc.date.available | 2013-02-26T08:00:31Z | |
dc.date.issued | 2012 | |
dc.identifier.uri | http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/11525 | |
dc.description.abstract | Utafiti huu unashughulikia swala la dhuluma dhidi ya vijana wa kike katika nwaya za E.Kezilahabi, Rosa Mistika (1971) na C. Momanyi, Tumaini (2006) . Uchanganuzi huu umegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza inasusu utangulizi wa utafiti. Katika sura ya pili tunachunguza na kuchanganua aina za dhuluma dhidi ya vijana wa kike na athari zake katika riwaya ya Rosa Mistika (1971). Katika sura ya tatu tunachanganua dhuluma dhidi ya vijana wa kike na athari zake katika riwaya ya C. Momanyi, Tumaini (2006). Sura ya nne inashughulikia vipengele vya mitazamo ya waandishi hawa wawili wa kiume na wa kike. Sura ya tano ni muhtasari na mapendekezo ya utafiti. | en_US |
dc.language.iso | en_US | en_US |
dc.publisher | University of Nairobi, Kenya | en_US |
dc.title | Dhuluma dhidi ya vijana wa kike katika Riwaya za Rosa Mistika na Tumaini | en_US |
dc.title.alternative | Thesis (MA) | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |