Search
Now showing items 1-1 of 1
Uwezeshaji lugha ili kuleta maendeleo: sera, utendaji na nafasi ya Kiswahili
(University of Nairobi, 2014)
Nafasi ya lugha za waliokuwa wakoloni Afrika kama vile; Kiingereza, Kifaransa na Kireno, imezisukuma lugha za Kiafrika hadi ukingoni katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi barani Afrika. Lugha za Kiafrika zimevurugwa na ...