Show simple item record

dc.contributor.authorKiptum, Tecla ,J
dc.date.accessioned2021-08-24T11:39:03Z
dc.date.available2021-08-24T11:39:03Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155328
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa Abdirrahmani na Sufiyani kwa kusoma utenzi wenyewe na kudondoa yale masuala mazito yenye uyakinifu katika maisha ya jamii. Tumeongozwa na nadharia ya uyakinifu wa kijamii katika kuchanganua maudhui haya makuu yaliyojitokeza wazi katika jamii ya jadi na pia katika jamii ya sasa. Maudhui haya ni kama vile dini, usaliti na dhuluma, ndoa na mapenzi, ushujaa, vita na maridhiano. Tuliweza kuoanisha masuala haya na nadharia ya uyakinifu wa kijamii kwani kulingana na mihimili yake, masuala yanayoelezwa katika utenzi wetu, yanazingatia hali halisi yanayoikumba jamii katika vigezo vitatu: kisosholojia, kiuchumi na kisiasa. Vilevile jamii hutathmini maendeleo yake kutokana na vigezo hivi ili iweze kupiga hatua. Tuliweza kusoma kazi mbalimbali zinazohusiana na utenzi ili kupata mwelekeo mzuri wa kutusaidia kufanya uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa Abdirrahmani na Sufiyani kama kazi yetu husika. Tumewasilisha masuala tuliyoyachanganua kupitia maelezo na ufafanuzi mwafaka kwa kuonyesha jinsi maudhui haya yanavyoweza kuleta matokeo hasi na chanya katika jamii ya sasa. Kutokana na utathmini wetu, tumedhihirisha wazi kwamba dini ndilo suala kuu linalozaa masuala au maudhui mengine tuliyoyachambua kama vile usaliti na dhuluma, ndoa na mapenzi, ushujaa, vita na maridhiano. Mtagusano wa wanajamii huleta tofauti mbalimbali katika jamii kwa mfano tofauti za kidini huleta vita, usaliti na dhuluma miongoni mwao. Vilevile utangamano mzuri hufanya jamii kuishi katika ndoa iliyo na mapenzi na ambayo hujenga uhusiano mwema katika jamii kupitia dini.en_US
dc.language.isoOtheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectUyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyanien_US
dc.titleUyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyanien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States