Show simple item record

dc.contributor.authorOngarora, Samson O
dc.date.accessioned2021-09-08T13:01:04Z
dc.date.available2021-09-08T13:01:04Z
dc.date.issued2007
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155451
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia mtindo katikaArusi ya Buldoza na Hadithi Nyingine. Tasnifu hii ina sura tano. Katika sura ya kwanza, tumegusia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua mada, nadharia tete,upeo na mipaka ya utafiti, yaliyoandikwa kuhusu mada ya utafiti, msingi wa nadharia ya utafiti na njia tulizotumia katika utafiti huu. Kuhusu sura ya pili, tumechanganua mtindo wa sintaksia katika Arusi ya Buldoza na Hadithi Nyingine. Tumejadili ukiushi wa vipashio katika sentensi, urefu na ufupi wa sentensi na nafasi ya uakifishi katika sintaksia ya diwani yenyewe. Sura ya tatu imeangazia ukiushi wa kisemantiki katika diwani ya Arusi ya Buldoza na Hadithi Nyingine. Tumechambua matumizi ya methali, semi, tamathali za usemi na mbinu nyingine za lugha. Katika sura ya nne, tumeshughulikia matumizi ya msamiati kwa jumla katika Arusi ya Buldoza na Hadithi Nyingine. Tumechunguza namna mwandishi alivyoteua msamiati wake iIi kuwasilisha ujumbe wake. Sura ya tano ina hitimisho la utafiti. Pia, imegusia umuhimu wa utafiti huu na kutoa mapendekezo ya utafiti wa baadaye katika diwani ya Arusi ya Buldoza na Hadithi Nyingine.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleMtindo Katika Arusi Ya Buldoza Na Hadithi Nyingineen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States