Show simple item record

dc.contributor.authorWepo, Eric W
dc.date.accessioned2021-09-16T09:59:40Z
dc.date.available2021-09-16T09:59:40Z
dc.date.issued2005
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155483
dc.description.abstractKazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa kuhusu somo hili, upeo na mipaka ya utafiti wetu, mbinu tulizotumia kutafiti pamoja na msingi wa nadharia ambayo tumetumia. Katika sura ya pili, tumejadili misingi mbalimbali ya uhakiki wa kifani. Tumeeleza maana zake na jinsi misingi yenyewe inavyotumika katika uhakiki wa kifani. Katika sura ya tatu, tumezihakiki tenzi hizi mbili; Utenzi wa Siri Li Asirali na Utenzi wa Mwana Fatuma kwa kutumia misingi ya uhakiki wa kifani kama tulivyoifafanua katika sura ya pili. Na katika sura ya nne, ambayo ndio ya mwisho, tumetathmini matokeo ya utafiti wetu pamoja na kutoa mapendekezo ya utafiti zaidi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleUhakiki Wa Kifani Katika Utenzi Wa Siri Li Asirali Na Utenzi Wa Mwana Fatumaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States