Show simple item record

dc.contributor.authorNkonge, Lillian G
dc.date.accessioned2021-09-20T12:09:13Z
dc.date.available2021-09-20T12:09:13Z
dc.date.issued2006
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155502
dc.description.abstractTasnifu hii imechunguza athari za udhanaishi katika riwaya mbili ambazo ni Kichwamaji na Nguvu ya Sala. Kazi yenyewe imegawika katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumetanguliza kwa ufupi dhana ya udhanaishi. Vilevile, tumebainisha tatizo linalotafitiwa, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, pamoja na . njia za utafiti. Aidha tumeangazia udurusu wa kazi mbalimbali pamoja na msingi wa kinadharia. Tumetumianadharia ya kisosholojia inayosisitiza umuhimu wa mazingira yaliyoibusha kazi ya msanii. Katika sura ya pili, tumeonyesha athari za udhanaishi zinazobainika katika riwaya ya Kichwamaji. Vilevile mazingira mbalimbali ambayo yamemwathiri Kezilahabi na kumfanya achukuemtazamowa kidhanaishi yamejadiliwa. Sura ya tatu imeangazia udhanaishi katika Nguvu ya Sala. Tumebainisha athari za udhanaishi kupitia maudhui mbalimbali. Aidha tumeonyesha vile ambavyo mwandishi ameathiriwa na mazingiraalimoandikia. Sura ya nne ni hitimisho. Tumehitimisha kwa kutoa maoni kuhusiana na kazi hii kwa ujumla,Vilevile, tumetoa mapendekezo ya utafiti zaidi.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectAthari Za Udhanaishien_US
dc.titleAthari Za Udhanaishi Katika Kichwamaji Na Nanguvu Ya Salaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States