Show simple item record

dc.contributor.authorNdege, Charles M
dc.date.accessioned2021-09-28T05:09:38Z
dc.date.available2021-09-28T05:09:38Z
dc.date.issued2013
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155524
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Chamchela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (201 1) Sura ya kwanza ni utangulizi, tatizo la utafiti, madhumni ya utafiti, nadharia tete, upeo na mipaka na msingl wa nadharia. Pia, tumejumuhisha yaliyoandikwa kuhusu mada, na mbinu za utafiti zizotumika katika kazi hii. Sura ya pili imeshughulikia msuko kama mojawapo wa vipengele vya muundo na mchango wake katika tamthilia za Arege. Tumetanguliza kwa kuangazia dhana ya msuko, kanuni za ploti pamoja na mchango wao katika kuendeleza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Arege. Sura ya tatu imeangazia mchango wa wahusika katika kuendeleza dhamira na maudhui. Tumeshughulikia majukumu yao na mchango wao katika kuibua maudhui na dhamira. Sura ya nne nayo imeshughulikia mchango wa matumiii ya lugha katika kudhihirisha ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Arege. Tumeshughulikia tamathali za lugha kama vile tashihisi, balagha, uzungumzinafsia, kuchanganya ndimi, tashbihi, dhihaka, methali, mdokezo, sitiari na kinaya. Sura ya tano inatoa muhtasari wa matokeo ya utafiti na mapendekezo ya tafiti za baadaye.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.titleUkuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothy Arege Mtazamo Wa Umuundoen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States