Show simple item record

dc.contributor.authorOketch, Lilliane, A
dc.date.accessioned2021-09-28T06:31:49Z
dc.date.available2021-09-28T06:31:49Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155530
dc.description.abstractUpole husaidia katika kudumisha mahusiano merna katika mazungumzo. Upole vile vile husaidia katika kuhakikisha kuwa wazungumzaji wanaingiliana vyema katika mazungumzo yao. Wazungumzaji huweza kufahamu kuwa wanatumia mikakati ya upole katika mazungumzo yao lakini mara nyingine, wao huweza kuitumia mikakati ya upole bila wao kufahamu. Tasnifu hii inachunguza kanuni ya upole kwenye vipindi "Jambo Kenya" na "Chapa Kazi" vya kituo cha utangazaji cha Redio Citizen. Uchunguzi huu ulinuia kuchunguza ikiwa mikakati ya upole inatumika katika mazungumzo na vipindi vya salamu, jinsi kanuni za ushirikiano (Grice, 1975) zinafanikisha lengo la mikakati ya upole katika vipindi vya "Jambo Kenya" na "Chapa Kazi" pamoja na kuchanganua elementi za lugha zinazofanikisha matumizi ya upole kwenye mawasiliano. Mchango wa Leech (1983) kwenye nadharia ya upole umetumika katika kuthibitisha kuwa, wazungumzaji kwenye kituo cha Redio Citizen hutumia mikakati ya upole kwenye mazungumzo yao. Kanuni za ushirikiano (Grice, 1975) pia zimetumika katika kubainisha kuwa upole kwa kiwango fulani huweza kusaidia katika kuleta maelewano baina ya wanaohusika katika mazungumzo. Utafiti huu vile vile umethibitisha kuwa mzungumzaji huweza kunyamazia anachokifahamu ili kutoibua mkwaruzano katika mazungumzo. Lazima pawe na upole ili kudumisha mawasiliano katika mitagusano ya kila siku.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectKanuni za upole kwenye vipindi, "Jambo Kenya" na "Chapa Kazi" vya Redio Citizen.en_US
dc.titleKanuni za upole kwenye vipindi, "Jambo Kenya" na "Chapa Kazi" vya Redio Citizen.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States